Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,913
- 11,327
Bandiko # 18 mbona kuna audio au hujaiona mkuu?Mm mtu wa Pwani naburudika tu hapa!
Last edited by a moderator:
Atakuwa diamond tu huyo.wala usipate tabu sheikh.Mimi naomba msaada wa taarab moja hivi mashairi yake yanasema, " Yailahi shoga si shoga, kumbe ni hasidi eeh
Nalia shoga si shoga, kumbe ni hasidi"
Nimesahau uliimbwa na nani.
kwani kuna tatizo?Kuna midume humu namo inaomba taarabu dah!
what if he is a dj anatafuta nyimbo za kuweka kwenye collection yakeKuna midume humu namo inaomba taarabu dah!
Enzi za jahazi mzee Yusuph magomeni wanaume wengi kuliko wanawakeKuna midume humu namo inaomba taarabu dah!