Wale wa one plus one

Wale wa one plus one

kijumbamshale

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
267
Reaction score
88
Kwa wale wenye hamu ya kumiliki OPO aka "never settle" aka flagship killer naona wamefungua dirisha la kuagiza bila invitation version ya 64gb kwa dolari 349 tu na dirisha la kuagiza litafunguliwa tar 27/10 saa 6-7 mchana kwa saa za afrika mashariki

Ila hawasafirishi kuleta huku kwa hiyo inabidi uwe na mtu maeneo wanayoweza kuship ili yeye ndio akutumie........
"Never settle".
 
siku zinavyozidi kwenda nayo inashuka thamani, flagship zilizopita sasa hivi nyingi zinapatikana kwa bei hio kama lg g2
 
Safi, walijilostisha wenyewe na invite system yao. Ingawa tatizo pengine lilikuwa ni kushindwa kutengeneza mzigo kutosha. Hata kwa invite hiyo ndo bei yake. Ni simu nzuri, ina specs za flagship, so pengine na yenyewe ni flagship tu
 
ni flagship ndio sababu hawana nyengine kubwa zaidi ya hio ila sd 805 imetoka hivyo oem wanapotoa simu mpya za zamani zinashuka bei hivyo inakuwa sio simu special tena
 
Back
Top Bottom