Wale wa Old Moshi Sec (Moshi Sec) mpoo!

Kuna siku mwalimu mmoja alikamatwa na kinguruwe kuulizwa akadai akapeleka hospital. Yule aliyekuwa anakaa pale karibu na DH, anaitwa nani tena kama jina lake ni wale wapiganao ngumi kwa kiinglishi! Yes huyo huyo.
 
Rambau alikuwa **** sana Yule.alinichapa mbele ya school baraza kanikamata naenda Kwa bubu wakati watu wapo parade asubuhi.
Wakati huo mimi ninaheshimika YCS....Iikuwa noma!
 
Hebu wanandugu wale waliosoma pale Old Moshi (Moshi sec) tujikumbushe maeneo kama Rau, Madukani, KCMC kwa Mama Recho, Mwl Boxer, Mama Kalambo, Mjomba Paka (RIP). Form six asiyemaliza (Uisso) Mwl Asseri, Mwl Roy. Kimaro mbao na wengineo........................
Nakina Lisa Pita, Kinunda na wengineoooo.....................
 
wengine hawa hapa nawakumbuka....
mwalimu Dea - funny guy
head prefect Christopher Ole Sendaka - huyu mbunge
 
Mbona hamtusalimii wababe zenu hasa kwenye soka Moshi Technical Secondary School??
 
mimi maeneo yangu yalikua OUTDOOR au KITANDU..

Mama macha na chapati zake bila kumsahau yule bintiye..
 
,Wale wa Kibo 4,5 & 11 watata watupu madoja wa paredii bila kuwasahau majirani zetu Mawenzi..
 
Nimekumbuka mbali sana, mbona mnamsahau ngwinya, na pidid, hata photographer lisapita nae anasahalika kweli!!! yuko mama mmoja alikua anapiga chemistry akiandika heading ubao una jaa, mnamkumbuka
 
Back
Top Bottom