Wale wa Old Moshi Sec (Moshi Sec) mpoo!

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Hebu wanandugu wale waliosoma pale Old Moshi (Moshi sec) tujikumbushe maeneo kama Rau, Madukani, KCMC kwa Mama Recho, Mwl Boxer, Mama Kalambo, Mjomba Paka (RIP). Form six asiyemaliza (Uisso) Mwl Asseri, Mwl Roy. Kimaro mbao na wengineo........................
 
Hebu wanandugu wale waliosoma pale Old Moshi (Moshi sec) tujikumbushe maeneo kama Rau, Madukani, KCMC kwa Mama Recho, Mwl Boxer, Mama Kalambo, Mjomba Paka (RIP). Form six asiyemaliza (Uisso) Mwl Asseri, Mwl Roy. Kimaro mbao na wengineo........................
Kwa Muro = maamkizi ya chai na maandazi!!
 
Kwa mama mdogo kule nyuma ya shengena,

Mama asha, mama recho..nasikia Recho alishavuta (RIP)
 
Na mademu wa Shule ya Kibosho Girls' mliokuwa mnawafukuzia...........:becky::becky::becky:
 
Siku ya Disco lazima watu wapande pale Kitandu..wanagonga gongo na mbege ya kufa mtu, ndo wanaenda Disco sasa!!! ahahahaaa\!
 
Nimekumbuka siku moja nilikuwa toilet karibu na bweni la hanang, kuna jamaa (kutoka.....) alikuwa ametoka kujisaidia bila ya kuflash, nikamuuliza vipi mbona unaondoka bila ya kuflash uchafu wako, akanijibu kwani ni zamu yangu kusafisha choo? Nikamuuliza hata kuflash choo mpka zamu?

Kuna Mwl alikuwa akiitwa pimbi ( au kimbi) alisifika sana kwa kuchapa, aliwahi kunichapa fimbo sita mbele ya shule mwaka 1997 August, kisa form 5 A tuligoma kupalilia bustani, sitosahau
 
Tupo mbona hujakumbushia kwa bubu mpika donati na kule BP au bomba place

Manyusi duh kweli long time..... Zile donati za bubu zilikuwa tamu kinoma, mvua zikinyesha tope mpaka bwenini balaa
 
Nasikia kuna kikundi cha uimbaji wa nyimbo za dini kilikuwa kinaitwa WAGALATIA bado kipo?
Niliwahi kusikia nyimbo zao nzuri kweli.
 
Na mademu wa Shule ya Kibosho Girls' mliokuwa mnawafukuzia...........:becky::becky::becky:

Kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa Shamu na kundi lake walizamia Graduation Kibosho, walikuwa waje Ilboru bahati mbaya hawakuja. jamaa keshautwika kazama ndani oooh sisi tumetangulia na basi tukakubaliana watatukuta. Si akatoka demu mmoja kasanua kwa sista kuwa hawa jamaa ni wa Old moshi,,,, we wacha kimbembe ilibidi atoke kisinema.
 
JS mademu walikuwa wanatuzimikia wao....si unajua tena Old Moshi title

Weruweru walikuwa wanatuita NATO miaka hiyo. Kuna anayejua tulikuwa tunawaitaje looooooooooooooong itme man. Wanijuze waliitwaje hawa WeruX2
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom