Ex mawenzi sec school-moshi students tukumbukie enzi zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ex mawenzi sec school-moshi students tukumbukie enzi zetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by babu loliondo, May 24, 2011.

 1. b

  babu loliondo Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni special kwa wale woooote waliosoma Mawenzi Sec School. Tukumbushane story za mama Mkiramweni, Y-Paul, Babu Mashingia, Bibi Matemu (a.k.a balbina) na mama Minja bibi wa O-level. For real hawa watu wali-play a central role katika construction ya future yetu, hivyo kuwakumbuka sio mbaya. Vilevile tusisahau story za mahusiano yetu na ma HB wetu wa Old Moshi na Umbwe. Karibuni
   
 2. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  umemsau bwiru (nyange) rfk mbando na utege wake teh teh na vimwalu vya mwalugelo waau bila kusahau beach ya juu na ya chini khe khe duh umenikumbusha mbaaaali sana
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Mama Msuya (Headmistress) wewe hukumkuta? Ngaiza aliyekuwa Maabara ya Biology?
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
 5. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mnatuzingua!
   
 6. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Yani umenikumbusha mambo ya Mwalu.....nimecheka hadi nimedondoka. Jamani mwalugelo alikuwa hanipendi!!!!!!!!!! alikuwa haish kunisema, kwa mwalimu leni ndo kabisaaaaa nlikuwa nachambwaaaa
   
 7. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Na ndo maana tukaitwa wana ex-Mawenzi, kama ww sio kweli hapa utaona tu nyotanyota
   
 8. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umenikumbusha bibi Matemu na Mzee Mashingia umenichekesha mno.
   
 9. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mie sikumkuta alishahamishiwa weruweru.
   
 10. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280

  Best Hebu niambie ww ulikuwa mwaka gani?? advance au olevel?
   
 11. Kuziwa

  Kuziwa Senior Member

  #11
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  Aisee! What a topic? Mi kipind icho nlikua o levo! Du! Mi namkumbuka mama kiwope, mama mzirai,madam tarimo, mama ali, njaya, aah! Mbona unataka kumsahau kaka boni dukan? Mzee shayo?
   
 12. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Mh kaka boni mlinzi wa kimasai, alokuwa tukimhonga buku tu tunatoroka kwenda mjini?? Mama Ali bwana na ule mkorogo wake......yani kweli ile shule it was Mawenzi our lovely school
   
 13. R

  Reena Member

  #13
  May 25, 2011
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mama Msuya yupo shule moja ya misheni ya st. louis ni mwalimu mkuu pale. Tena bado yupo na ile pickup yake. Mama minja na mwishilio wa kila sentensi isintiti? teh. Mnamkumbuka mwalimu Nkya wa workshop ya wood akikuta hujachomeka shati au umekunja kidogo kwenye mikono adhabu yake utakoma. Vipi mama mbaga
   
 14. l

  lily JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  akina anamary kavishe vip jamani enzi zetu awwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww
   
 15. R

  Reena Member

  #15
  May 25, 2011
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mama benet yupo st. Anna
   
 16. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,247
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Please msisahau wazee wa PLACE OF GOLD MOSHI. MPOOOOOO!
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mi nilikuwa pale enzi za kisanji, mama minja, nyange, mbando, balbina, mashingia, dracula na wengineo. Miaka ya 92 hadi 96. Ilikuwa mawenzi kweli!
   
 18. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa pale A level tangu 1993 mpaka 1995.Wewe je?
   
 19. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani mama Kisanji sijui sasa yuko wapi mama yetu?Wakati huo A level tulikuwa wasichana watupu sijui sasa wana utaratibu huo huo au umebadilika.
   
 20. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #20
  May 25, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  duuu asee mmenikumbusha mbali saaana mama kisanji hahaha alikua hapendi wasichana kama nn alikua ana bifu nao binafsi,hahaha bwiru tulikua maadui yaani ni balaa,\mushi makuku hahahaha sa hv ni jirani yangu pale soweto moshi nikimuonaga tunacheka na kula bia kama kawa asee mwaipoo dah alinichapa sana pamoja na marehemu mwalimu saimon,aseeelooong time
   
Loading...