Hapana rafiki, avatar ilikuwa ya uchi wa mwanamke! Just imagine , avatar kama hiyo ya nini! Kama huwezi kuchira hiyo kitu mbele ya watoto wako, why post it on this forum! Sina stress maana mimi sio mwanafunzi wa mikopo! Anyway, kama nimekuudhi nisamehe!
jamani Perry na Ipycalypse hili ni jukwa la wasomi...jitahidini sana kuzuia hisia zenu!!! a wise man is always controlled by his intelect and not his feelings....kuwen makin tusije waweka kwenye magroup ya watu wavivu wa kufikiria......