Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 11,332
- 17,835
Hahaa ..Rambo ni kiboko aisee jamaa anajua kuogiza vibaya mno. Kuna siku nipo na sister nachek muvi mara sister anasema "rambo anasauti nzuri" nikaondoka kama narudi vile
Sista anamsifia kibesi mwanaume mwenzio!! Hata mimi ningeenda kujisaidia ndio moja kwa moja.