Wale wa miaka ya 90 nani mkali hapa?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
4,137
13,824
383dbd2710b908466202e86ca1594b50.jpg
 
Wakwanza kushoto ni Dolf, wapili Rambo, watatu Arnold na wa mwisho ni ...... nitarudi kuangalia wengine mmetaja jina gani, siyo yote nitaje mimi@
 
Wote walifanya vema kuanzia JEAN CLAUDE VAN DAMME ARNOLD Schwarzenegger NA SYLVESTER STALKONE ila dolf alifanya vema kwn movie za kushirikishwa
 
Anold..picha zake za kibabe sana mkuu..huyo jamaa unamshikia BUNDUKI lakini ANAKWAMBIYA weka BUNDUKI CHINI.. kama huweki CHINI NAKUUA...jamaa namuelewa mno huyo..halafu SILVESTER STALOON...hao watu hatari mno kwenye maeneo yao....
 
Rambo ni kiboko aisee jamaa anajua kuogiza vibaya mno. Kuna siku nipo na sister nachek muvi mara sister anasema "rambo anasauti nzuri" nikaondoka kama narudi vile
 
Rambo ni kiboko aisee jamaa anajua kuogiza vibaya mno. Kuna siku nipo na sister nachek muvi mara sister anasema "rambo anasauti nzuri" nikaondoka kama narudi vile
Yaa..anord ni hatari..angalia predetor.. Angalia end of days..angalia eresa..angalia commando.. Angalia terminator.. Jamaa hatari huyo..
 
Back
Top Bottom