Wale wa miaka ya 90 nani mkali hapa?

Anold..picha zake za kibabe sana mkuu..huyo jamaa unamshikia BUNDUKI lakini ANAKWAMBIYA weka BUNDUKI CHINI.. kama huweki CHINI NAKUUA...jamaa namuelewa mno huyo..halafu SILVESTER STALOON...hao watu hatari mno kwenye maeneo yao....
Stallone
 
Jamaa wote wako vizur sana...kiufupi arnod yeye ni mbabe wa kubeba silaha nzito na kuzitumia ipasavyo,Sylvester stallone yeye namkubali ni sharp shooter yaan akikupima hakosi ata iwe kwa angle gani,damme namkubali kwa mateke yake hadimu,dolf anapendeza sana akiwa adui au akiwa mpinzani wa hao niliowataja...movie inakua super duper
 
Back
Top Bottom