Nimecheka! Nimekumbuka mjomba wangu ilikuwa ikifika saa nne asubuhi utakuta anapanga betri tena wengi walikuwa wanaita mawe ya radio. Hapo ni baada ya kusikiliza Tuimbe sote kuyaandaa kwa ajili ya mchana mwema halafu saa Tisa anayapanga tena nikikumbuka napata faraja na tabasamu moyoni. Kipindi cha tuimbe sote nilikipenda sana!