Globu mwaka huo 1931 sijazaliwa bado ujuee hahahaha na kama nshazaliwa ningekua kibogoyo saa hizi nalea vitukuu......Farkhina inaonyesha wewe mitaa yako ilikuwa ya ng'ambo. Yaani bado hujapajua hapo mahali!!!
Subir nijaribu tena
Last edited by a moderator: