Niambie hapo ni eneo gani?
Umekosa, kumbuka tena.
Haaa haaa umechemsha.
![]()
Umenikumbusha mbali mwaka 1992 nilipopita nchini syria niliyaona hayo magari yakitumika je mpaka leo huko Unguja hayo magari yapo? na Je yanatumika na kufanya kazi? Mkuu Globu
Aaah wapi, bado hujapajua.
![]()
Umenikumbusha mbali mwaka 1992 nilipopita nchini syria niliyaona hayo magari yakitumika je mpaka leo huko Unguja hayo magari yapo? na Je yanatumika na kufanya kazi? Mkuu Globu
Tutajie basi Mkunazini? Mnazi mmoja? Malindi? Forodhani? tutajie basi ni wapi? hapo Globu?Aaah wapi, bado hujapajua.
Tutajie basi Mkunazini? Mnazi mmoja? Malindi? Forodhani? tutajie basi ni wapi? hapo Globu?