HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Nilijua muda wa swala umefika kwahiyo aliyekodi malazi ameenda kuchukua udhu na msala aliuandaa kabisa.Hahahahahah HARUFU sasa huo msala unafanya nini hapo pembezoni mwa kitanda?
Na kibla nikawa nimehisi kwa jinsi picha ilivyochukuliwa itakuwa upande wetu tunapoangalia picha