The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
Nina degree yangu ya Geoinformatics ya Ardhi University....
Sijawahi kujutia kuwa GIS analyst.

unapenda kuajiriwa eeh...utakufa masikini...by the way,unaweza kufanya kazi sehemu nyingi Sana...kama Land Surveyor -Halmashauri yeyote ile...kupima viwanja-kwenye kampuni yeyote ya land surveyKama Engineering surveyor -Tanroads-kwenye engineering firmskama mining surveyor -kwenye mining companies (Mimi kwa sasa nipo hapa)GIS analyst -hii ina applications sehemu nyingi Sana....sana...na hasaa ndo professional yako hii endapo utamaliza,.sisi pale ARU tumeisoma hii kozi kwa miaka minne,,nadhani hadi Leo inatolewa kwa miaka minne..sina hakika na competence ya UDOM kwenye kozi hii...all the bestplease ntajie kazi ambazo naweza fanya nikimaliza hii... ajira wap?
unapenda kuajiriwa eeh...utakufa masikini...by the way,unaweza kufanya kazi sehemu nyingi Sana...kama Land Surveyor -Halmashauri yeyote ile...kupima viwanja-kwenye kampuni yeyote ya land surveyKama Engineering surveyor -Tanroads-kwenye engineering firmskama mining surveyor -kwenye mining companies (Mimi kwa sasa nipo hapa)GIS analyst -hii ina applications sehemu nyingi Sana....sana...na hasaa ndo professional yako hii endapo utamaliza,.sisi pale ARU tumeisoma hii kozi kwa miaka minne,,nadhani hadi Leo inatolewa kwa miaka minne..sina hakika na competence ya UDOM kwenye kozi hii...all the best

Dah poa mkuu, tupamoja nami I will become GIs
sijadanganya nikweliwe si umesema ni mshkaji wako ndio kachaguliwa kusoma hiyo kitu sasa we utakuwa GIS kivipi.... au mwanzo ulidanganya ili tujue sio muhusika sio wewe?