Nashukuru umeelewa.Asante sana... Nimejikuta najiona mpumbavu, sikuwa makini kwenye kuchangia.... Isingewezekana kitu kikubwa kama hicho taarifa zake za siri awe nazo mtu mmoja tuu...
Kuna lose ends nyingi zinazohitaji clarification
Jr
Nashukuru umeelewa.
Yani hapo BITCOIN ni mfano wa Mpesa, mteja mmoja wa vodacom kufa na password yake ya Mpesa ikiwa na hela haiwaathiri chochote wateja wengine.
Sifanyi Bitcoin, na naamini ipo siku Bitcoin itaanguka. Ila sio kwa style hii wanayoiongelea wabongo bila research. Eti mtu anafananisha bitcoin na D9, like serious? no research no right to speak!
- KANA -
Huendda hukuelewa kwa maana bitcoin zilizoko kwenye mzunguko ni zaidi ya tillions hata 20 za kitanzania we waongela bilion 200 tu????Wakuu,
Jamaa wa Bitcoin walikuwa wakijitapa sana kuwa wamekuwa matajiri, yale leo wamepokea taarifa mbaya ambayo hawajawahi kuipata.
Mwanzilishi wa Bitcoin Bw. Quadriga CX amefariki dunia na wanasema yeye ndio alikuwa na password ya kuingia kwenye hiyo account iliyokuwa na dollar milioni mia mbili ambayo ni sawa na bilioni mia mbili hamsini.
Hivyo watu wengi duniani wakiwepo watanzania wenzetu wamepigwa pesa zao. Namaliza kwa kusema kuwa ''UKIITWA KWENYE FURSA BASI UJUE WEWE NDIO FURSA''
Wakuu,

Acha uzushi, BİTCOİN sio jambo rahisi kama sentensi zako.Bitcoin ni mfumo hivyo kama mfumo haupo mtandaoni sawa, kumbuka Dunia inamagwiji wa cumputer ambao hawashindwi kuingia na kufanya wanachotaka ktk huo mfumo.Wazungu huw hawabahatishi mambo.Wakuu,
Jamaa wa Bitcoin walikuwa wakijitapa sana kuwa wamekuwa matajiri, yale leo wamepokea taarifa mbaya ambayo hawajawahi kuipata.
Mwanzilishi wa Bitcoin Bw. Quadriga CX amefariki dunia na wanasema yeye ndio alikuwa na password ya kuingia kwenye hiyo account iliyokuwa na dollar milioni mia mbili ambayo ni sawa na bilioni mia mbili hamsini.
Hivyo watu wengi duniani wakiwepo watanzania wenzetu wamepigwa pesa zao. Namaliza kwa kusema kuwa ''UKIITWA KWENYE FURSA BASI UJUE WEWE NDIO FURSA''
Huendda hukuelewa kwa maana bitcoin zilizoko kwenye mzunguko ni zaidi ya tillions hata 20 za kitanzania we waongela bilion 200 tu????
Na mwanzilishi wa Bitcoin mbona hajulikani we umejulia wapi mkuu? Na bitcoin haiwi centralized kusema ina run within a single PC
Naona mleta mada amepotosha ukweli, ama kwa kujua au kwa kutokujua. Maana ameandika kuwa mmiliki wa Bitcoin ni Quadriga CX...kitu ambacho si kweli.Acha
Acha uzushi, BİTCOİN sio jambo rahisi kama sentensi zako.Bitcoin ni mfumo hivyo kama mfumo haupo mtandaoni sawa, kumbuka Dunia inamagwiji wa cumputer ambao hawashindwi kuingia na kufanya wanachotaka ktk huo mfumo.Wazungu huw hawabahatishi mambo.
nafikiri bado hujakubali kuwa umepigwa. kasome vizuri hapo."Usichokijua ni sawa na usiku wa Giza" mleta mada umejaribu kuelezea kitu ambacho hukijui hata robo. Yule zile zilikuwa hela zake yeye na sio eti hela zote za Bitcoin. Haina tofauti na mtu akafa na password za M-Pesa yake hii itamaanisha ni zile peza zake pekee ndio zitakuwa zimepotea na sio pesa zote za Tanzania zilizoko kwenye mzunguko wa M-Pesa. Huyo jamaa amekufa na mabilion yake bila kumpa mtu password yake na kwenye Bitcoin hakuna central place ya kufanya retrieval ya hiyo password, hivyo ni pesa zake tu ndio zimepotea kwa kuwa hakuna namna ya kuzirudisha na sio pesa zote za Bitcoin.
Mimi bado natumia Bitcoin kwenye kudeposit hela kwenye account yangu ya skrill very swiftly and conveniently.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye hiyo bolded heading, unaelewa nini anavyosema "Canada's largest cryptocurrency exchange"?nafikiri bado hujakubali kuwa umepigwa. kasome vizuri hapo.
"Following the death of the CEO of Canada’s largest cryptocurrency exchange, QuadrigaCX, investors were locked out of $190m ($145m) in cryptocurrency assets as the owner was the only person who knew the password to access holdings."
www.indiaglitz.com/cryptocurrency-exchange-quadrigacx-founder-ceo-dies-investors-unable-to-access-190m-funds-tamil-news-228974
Sasa hii hatoshi kuifanya Bitcoin na cryptocurency vife kwa ujumla. Zimepotea dola million 145 kwenye mtaji wa billion 59B wa Bitcoin pekee achana na sarafu zingine alafu useme Bitcoin imekufa? Are you retarded?nafikiri bado hujakubali kuwa umepigwa. kasome vizuri hapo.
"Following the death of the CEO of Canada’s largest cryptocurrency exchange, QuadrigaCX, investors were locked out of $190m ($145m) in cryptocurrency assets as the owner was the only person who knew the password to access holdings."
www.indiaglitz.com/cryptocurrency-exchange-quadrigacx-founder-ceo-dies-investors-unable-to-access-190m-funds-tamil-news-228974
Hahahahaha yale yale ya BalaliKutoka Canada kafia India. Ilikiwa lazima afe, na afie nchi ambayo mifumo haiko sawa sawa, ili mpango wake wa wizi utimie. Kabadili tu sura na jina, na hataonekana tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhuu Mimi mweupe hapo , nahisi Kama Mimi ndio mliki wa Bitcoin ngoma nijitangaze.Tuwekane sawa hapa
Mwanzilishi wa bitcoin ni mtu ambaye alijulikana kama Satoshi Nakamoto , pia haijawahi kufahamika huyu mtu ni nani na yupo wapi
Bitcoin haimilikiwi na mtu yoyote, mfano pesa ya tanzania inamilikiwa na serikali lakini bitcoin haimilikiwi na mtu wala taasisi
Bitcoin haisimamiwi na taasisi yoyote wala mtu na itaendele kuwepo hivyo
Mtoa mada fanya utafiti kabla ya kutoa thread
Wabongo bwana,,hata alichopost hapa hajui,,,kwanza tuu afikirie,,yaan watumiaji wa Btc dunian ni $200000000 tu??? Nafkir just half of africa wamezidi hio amount,,, ulichomweleza ndio sahihi,,,,tena basi pesa hio ni kwamba imepotea hata cetral collection ya btc hawawez ipata ni kwamba kafa na pesa yake..leo tu nimefanya miamala kadhaa...alafu jaman watanzania jaribun kufanya research jambo kabla hamja changia"Usichokijua ni sawa na usiku wa Giza" mleta mada umejaribu kuelezea kitu ambacho hukijui hata robo. Yule zile zilikuwa hela zake yeye na sio eti hela zote za Bitcoin. Haina tofauti na mtu akafa na password za M-Pesa yake hii itamaanisha ni zile peza zake pekee ndio zitakuwa zimepotea na sio pesa zote za Tanzania zilizoko kwenye mzunguko wa M-Pesa. Huyo jamaa amekufa na mabilion yake bila kumpa mtu password yake na kwenye Bitcoin hakuna central place ya kufanya retrieval ya hiyo password, hivyo ni pesa zake tu ndio zimepotea kwa kuwa hakuna namna ya kuzirudisha na sio pesa zote za Bitcoin.
Mimi bado natumia Bitcoin kwenye kudeposit hela kwenye account yangu ya skrill very swiftly and conveniently.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaaa! sijui kwa nini watu huwa hawataki kufikirisha akili kabla ya kupost. Hizo hela mbona ni chache sana!Kwa hesabu ya haraka haraka hio pesa ni ndogo sana ukiangalia wateja wa bitcoin dunia nzima.
Mkuu jipange utoe taharifa ya uhakika na sio umbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeWatanzania wengi sisi ni vilaza..na kila mtu anajifanya expart kwenye kila jambo..
Mtu hata ajui bitcoin ni nini,anaandika tu uzushi
Nanaa