BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,837
Wanaweza kunfufua atoe nywila ya akaunti halafu arudi kwenye umauti wake kwa amani.Kutoka Canada kafia India. Ilikiwa lazima afe, na afie nchi ambayo mifumo haiko sawa sawa, ili mpango wake wa wizi utimie. Kabadili tu sura na jina, na hataonekana tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vinatengenezwa mkuu......unaweza kuta hajafa wala nn.Wanaweza kunfufua atoe nywila ya akaunti halafu arudi kwenye umauti wake kwa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu,
Jamaa wa Bitcoin walikuwa wakijitapa sana kuwa wamekuwa matajiri, yale leo wamepokea taarifa mbaya ambayo hawajawahi kuipata.
Mwanzilishi wa Bitcoin Bw. Quadriga CX amefariki dunia na wanasema yeye ndio alikuwa na password ya kuingia kwenye hiyo account iliyokuwa na dollar milioni mia mbili ambayo ni sawa na bilioni mia mbili hamsini.
Hivyo watu wengi duniani wakiwepo watanzania wenzetu wamepigwa pesa zao. Namaliza kwa kusema kuwa ''UKIITWA KWENYE FURSA BASI UJUE WEWE NDIO FURSA''

Exactly.. That's what I thoughtKutoka Canada kafia India. Ilikiwa lazima afe, na afie nchi ambayo mifumo haiko sawa sawa, ili mpango wake wa wizi utimie. Kabadili tu sura na jina, na hataonekana tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza niseme kwamba nimekuquote sababu naamini hauna mihemko na ni mtu mwenye open mind.Exactly.. That's what I thought
Jr
Asante sana... Nimejikuta najiona mpumbavu, sikuwa makini kwenye kuchangia.... Isingewezekana kitu kikubwa kama hicho taarifa zake za siri awe nazo mtu mmoja tuu...Kwanza niseme kwamba nimekuquote sababu naamini hauna mihemko na ni mtu mwenye open mind.
Naomba ujaribu kugoogle ni nani mwanzilishi wa bitcoin, then ulinganishe utakachokiona na hii habari iliyoletwa hapa!
Wasalaam.
- KANA -
Kwa bitcoin ukipoteza passphrase(kama password) basi bitcoin zako zimepotea na hamna namna yoyote ya kuzirudisha na haitokuja kutokea kuzirudshaMtu hata akifa, kuna namna ya kuover ride system kwa kibali maalum cha mahakama na wahusika (warithi) kupatiwa pesa za muhusika.