Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Aug 9, 2012 #41 charminglady said: Cantalisia upo wapi? hebu njoo pande hz haraka,kuna mtu kachoka maisha! Click to expand... Uchune basi na wewe lol!!
charminglady said: Cantalisia upo wapi? hebu njoo pande hz haraka,kuna mtu kachoka maisha! Click to expand... Uchune basi na wewe lol!!
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Aug 9, 2012 #42 Kaizer said: Rejao si juzi nilikuwa nakuulizia habari za Cantalisia juzi tu? huo umbali umepimaje? Click to expand... Kaizer...usimensheni hiyo Cantalisia kwenye hii sredi...akitokea hapa patakuwa hapatoshi!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaizer said: Rejao si juzi nilikuwa nakuulizia habari za Cantalisia juzi tu? huo umbali umepimaje? Click to expand... Kaizer...usimensheni hiyo Cantalisia kwenye hii sredi...akitokea hapa patakuwa hapatoshi!!
Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,613 Aug 9, 2012 #43 Kaizer said: Permission denied with regrets of course Mwali Click to expand... Shkamoo Uncle. Hivi unaweza kuniruhusu kumpa klorokwini number yangu Halafu unikatalia kumpa Rejao kweli? Mbona Rejao mtu poa? Karibu vitumbua Uncle, bado vina moto... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaizer said: Permission denied with regrets of course Mwali Click to expand... Shkamoo Uncle. Hivi unaweza kuniruhusu kumpa klorokwini number yangu Halafu unikatalia kumpa Rejao kweli? Mbona Rejao mtu poa? Karibu vitumbua Uncle, bado vina moto...
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Aug 9, 2012 #44 Mwali said: Hata mimi nimeona amepotea kiaina. But wamepotea wengi Sijui ni ramadhan? Au ndio summer holidays, si unajua tena? Kwa kweli habari ya SI bora uwe unamuuliza CUTE sasa hivi Vituko nilijionea kule Facebook nilichoka mwenyewe. hahaha Click to expand... Fesbuku ilivunja uchumba? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwali said: Hata mimi nimeona amepotea kiaina. But wamepotea wengi Sijui ni ramadhan? Au ndio summer holidays, si unajua tena? Kwa kweli habari ya SI bora uwe unamuuliza CUTE sasa hivi Vituko nilijionea kule Facebook nilichoka mwenyewe. hahaha Click to expand... Fesbuku ilivunja uchumba?
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Aug 9, 2012 #45 Mwali said: Shkamoo Uncle. Hivi unaweza kuniruhusu kumpa klorokwini number yangu Halafu unikatalia kumpa Rejao kweli? Mbona Rejao mtu poa? Karibu vitumbua Uncle, bado vina moto... Click to expand... Mbona azana bado jamani nyie mnatamanishana misosi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwali said: Shkamoo Uncle. Hivi unaweza kuniruhusu kumpa klorokwini number yangu Halafu unikatalia kumpa Rejao kweli? Mbona Rejao mtu poa? Karibu vitumbua Uncle, bado vina moto... Click to expand... Mbona azana bado jamani nyie mnatamanishana misosi?
Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,613 Aug 9, 2012 #46 Bishanga said: Mbona azana bado jamani nyie mnatamanishana misosi? Click to expand... Bado namalizia kukaanga kaanga hapa, ila si unajua Uncle wangu sio mwislam.
Bishanga said: Mbona azana bado jamani nyie mnatamanishana misosi? Click to expand... Bado namalizia kukaanga kaanga hapa, ila si unajua Uncle wangu sio mwislam.
JiweLinaloishi JF-Expert Member Joined May 24, 2008 Posts 3,737 Reaction score 2,139 Aug 9, 2012 #47 pin JW2015-J1