Wale viumbe wa Kisuma ya Sugar Ray Night Club hawanipati tena!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
wana tabia mbaya sana.ukiwa unakunywa zako bia ukigeuka unakuta chupa imeondoka dawa yao ni kutumia tarumbeta kama kawa na chupa nikiweka chini ina maana kitu nmemaliza.
hawa viumbe wanatabia ya kuelekeza sehemu ya kulala wakidai ndo pazuri lakini kesho yake ukiamka unajikuta umeibiwa hadi socks.dawa yao haulali hadi majogoo,ukimaliza shida zako ni kuondoka kulala mbele kwa mbele.hawapati kitu tena.mia
 
WE MIA MPAKA LEO HII
UNAZOAZOA MANGURUBANGE????
KWANINI WAHATARISHA
life yako kwa starehe
chafu namna hiyo
haaaa!wale wanakuua
na msibani hawafiki wala nini.MIA
 
WE MIA MPAKA LEO HII
UNAZOAZOA MANGURUBANGE????
KWANINI WAHATARISHA
life yako kwa starehe
chafu namna hiyo
haaaa!wale wanakuua
na msibani hawafiki wala nini.MIA

mkuu kweli wale ni MANGURUBANGE.lakini huwezi amin kwamba ndo hao hao unaopishana nao kitaa.lakini ndo hivyo tena sasa hivi imekula kwao.mia
 
Wamekuliza mara ngapi mkuu?. Mia

mkuu wale viumbe wana timing ile mbaya.kwa mfano wewe unakunywa bia 9 au 10 ndo unalewa.ukienda pale ukaona umelewa kwa bia3 kimbia faster nyumbani wanakuwa wameshakumaliza hao.ndo maana wanafuga kucha ndefu za kufichia mankorogoto yao.ukiwa pale kaa machugamachuga kama uko vitani vile.mia
 
Iko wapi hiyo? Au unafikiri kila mwanaJF anaishi DSM? Mia

mkuu ipo dar mandela road katikati ya serengeti na tazara.sehemu yenyewe inaitwa sokota karibu na kituo cha polisi cha changkombe.umepasoma mkuu?mia
 
wana tabia mbaya sana.ukiwa unakunywa zako bia ukigeuka unakuta chupa imeondoka dawa yao ni kutumia tarumbeta kama kawa na chupa nikiweka chini ina maana kitu nmemaliza.
hawa viumbe wanatabia ya kuelekeza sehemu ya kulala wakidai ndo pazuri lakini kesho yake ukiamka unajikuta umeibiwa hadi socks.dawa yao haulali hadi majogoo,ukimaliza shida zako ni kuondoka kulala mbele kwa mbele.hawapati kitu tena.mia
Hamia Sinza kwa wajanja,toka uswazi get value of ur money!
 
Pole sana mkuu, watoto wenyewe vipi wanalipa? Mia.

uzuri wa pale unachagua utakavyo.unamwambia geuka tingisha kidogo ukiona anakulipa unaondoka nae halafu wenyewe kwa wenyewe wanapandiana dau.lakini mimi ninaowakubali ni wale wa pale jori aga khan.mia
 
Hamia Sinza kwa wajanja,toka uswazi get value of ur money!

wale wa sinza umpate mapema kwenye saa tano usiku.lakini ukimfuata saa10 usiku unakuta wamechoka hata kutembea hawawezi.halafu wanamasharti.utasikia ooh!..mi sijazoea kuinama.halafu wale wa sinza ni double shift.mchana unamkuta pale mlimani city masamaki anajifanya anakunywa juice,jioni kwenye saa 11 unamkuta pale hongera au breakpoint knyama,usiku unamkuta ambiance na sansiro ndo maana unakuta kachoka.mia
 
Back
Top Bottom