Wale viumbe wa Kisuma ya Sugar Ray Night Club hawanipati tena!

Iko dar maeneo ya sokota,...lakn ni sehemu ya hovyo sana ile.

ni kweli mkuu ile sehemu ni hovyo sana.inatakiwa ukienda pale uwe umelenga unaenda kufanya nini na utakaa mda gani.kama unahitaji sehemu iliyotulia pale sio.ile ni sehemu ya mishemishe.kila mtu anaenda kwa deal lake.mimi ile tabia yao ya kudeki usku hapo tu ndo wananiudhi.ikifika saa10 wanaanza kukuhamisheni meza eti wanadeki.wananiboa ila basi tu.mia
 
ahahahahaaaaaaaaaa_ndio mambo ya Sugar Ray hayo mkuu,....ila sijafika pale miaka mingi kweli kweli mkuu
 
lakini mkuu bora sokota kuliko kule masaki.wale viumbe wa pale maisha club ndo noumer na wauwaji.wenyewe wanakula deal na mapolisi.kwa kuwa kule guest ni tabu wanakupelekeni kwenye nyumba za vingunge wanaoishi ulaya mnaongea na mlinzi mnamuachia kiasi mnaingia.ile mnatoka mnakuta polisi getini eti wamepata taarifa kuna vibaka wamo humu ndani mnawekwa chini ya ulinzi.mnawapeni hela halafu baadae wanagawana na yule demu.au wanakupeleka kwenye mtaa ambao washikaji wapo doria wanawakamateni kwa uzurulaji.mia
 
si utafute mmoja ili utulie naye au kinawasha.

nani anataka mapuresha saa hizi?ukitafuta mmoja ni sawa na kujiweka kifungoni mwenyewe.hata night utakua hutoki.inatakiwa ukiamua kutulia oa kabisa sio kudanganyana eti uchumba halafu baada ya mwezi mnamwagana.ukiwa free kuna raha zake asikuambie mtu.mia
 
wale wa sinza umpate mapema kwenye saa tano usiku.lakini ukimfuata saa10 usiku unakuta wamechoka hata kutembea hawawezi.halafu wanamasharti.utasikia ooh!..mi sijazoea kuinama.halafu wale wa sinza ni double shift.mchana unamkuta pale mlimani city masamaki anajifanya anakunywa juice,jioni kwenye saa 11 unamkuta pale hongera au breakpoint knyama,usiku unamkuta ambiance na sansiro ndo maana unakuta kachoka.mia
Vijana wa siku hizi mnatushangaza kaka zenu,unamlewesha changu wa nini ? unalala na mwizi ? hawa wajasiriamwili ni wakuelewana bei,lipa,gonga na sepa.Mtu analewa daily bia ya 10 hapepesuki mbona hampendi hela zenu ?
 
umeongea ukweli mkuu,wale viumbe ni noumer.inatakiwa ulale kama upo vitani.mia
Jamani wadogo zangu miaka ya nyuma tulikuwa tunatumia mbinu hizi,ukiingia chumbani unaficha ufunguo au kuna gesti hawaruhusu mmoja atoke wanasema mlikuja 2 muondoke wote au twende mwenzako akakuruhusu.Pia unajua kabisa una ukame acha blackberry yako home chukua ile ya buku 20 ya promosheni afu kwanini uende eneo la tukio na sijui laki ngapi ni ushamba tu siku hizi ATM na M-pesa chukua cash kidogo tu.
 
wale wa sinza umpate mapema kwenye saa tano usiku.lakini ukimfuata saa10 usiku unakuta wamechoka hata kutembea hawawezi.halafu wanamasharti.utasikia ooh!..mi sijazoea kuinama.halafu wale wa sinza ni double shift.mchana unamkuta pale mlimani city masamaki anajifanya anakunywa juice,jioni kwenye saa 11 unamkuta pale hongera au breakpoint knyama,usiku unamkuta ambiance na sansiro ndo maana unakuta kachoka.mia

hehehehehheeeee hii nimeipenda mzee .mia
 
Dah kile kiwanja changu cha kula zile kokwa zA mbuzi pale nje. Hua naanza na zile korodani choma kama ishirini hivi halafu napiga na kasichana ka konyaji ile mijizi ikinifata mezani nashika mmoja nginjanginja kwenye premior yangu kalasi
 
mkuu wale viumbe wana timing ile mbaya.kwa mfano wewe unakunywa bia 9 au 10 ndo unalewa.ukienda pale ukaona umelewa kwa bia3 kimbia faster nyumbani wanakuwa wameshakumaliza hao.ndo maana wanafuga kucha ndefu za kufichia mankorogoto yao.ukiwa pale kaa machugamachuga kama uko vitani vile.mia

unavyoleke washakuliza sana hadi unawapatia solution. Pole sana. Mia.
 
siku moja nlimuokota pale msasani club.tukaenda guest.nikajifanya mjanja nkachukua self.nlipotaka kulala kitanda nikakivuta usawa wa mlango ili asintoloke.ile naamka asubuhi najikuta peke yangu.kuangalia vizuri kumbe nlikuwa nmejichanganya ule mlango ulikuwa unafunguka kwa nje.dah!pombe ni noumer.mia
 
asee kamanda we mzoefu duuuh
mia

wale wa sinza umpate mapema kwenye saa tano usiku.lakini ukimfuata saa10 usiku unakuta wamechoka hata kutembea hawawezi.halafu wanamasharti.utasikia ooh!..mi sijazoea kuinama.halafu wale wa sinza ni double shift.mchana unamkuta pale mlimani city masamaki anajifanya anakunywa juice,jioni kwenye saa 11 unamkuta pale hongera au breakpoint knyama,usiku unamkuta ambiance na sansiro ndo maana unakuta kachoka.mia
 
lakini mkuu bora sokota kuliko kule masaki.wale viumbe wa pale maisha club ndo noumer na wauwaji.wenyewe wanakula deal na mapolisi.kwa kuwa kule guest ni tabu wanakupelekeni kwenye nyumba za vingunge wanaoishi ulaya mnaongea na mlinzi mnamuachia kiasi mnaingia.ile mnatoka mnakuta polisi getini eti wamepata taarifa kuna vibaka wamo humu ndani mnawekwa chini ya ulinzi.mnawapeni hela halafu baadae wanagawana na yule demu.au wanakupeleka kwenye mtaa ambao washikaji wapo doria wanawakamateni kwa uzurulaji.mia

yaani nilikuwa nasoma kama guest, nimecheka sana na hii siredi, mzee kweli wewe una maxipiriensi, daah ukijumlisha na hiyo uliyodai watoto wanaokula juice samaki mliman city jioni wapo hongera wamechoka, daah wewe ni noumre, ha ha haa, miaaaaaaa!!! AMINIA BABAKE!!!
 
mia leo umenichekesha vibaya sana lool
yaani we unawajua hawa
madada pouwa wa jiji zima khaaaaa

lakini mkuu bora sokota kuliko kule masaki.wale viumbe wa pale maisha club ndo noumer na wauwaji.wenyewe wanakula deal na mapolisi.kwa kuwa kule guest ni tabu wanakupelekeni kwenye nyumba za vingunge wanaoishi ulaya mnaongea na mlinzi mnamuachia kiasi mnaingia.ile mnatoka mnakuta polisi getini eti wamepata taarifa kuna vibaka wamo humu ndani mnawekwa chini ya ulinzi.mnawapeni hela halafu baadae wanagawana na yule demu.au wanakupeleka kwenye mtaa ambao washikaji wapo doria wanawakamateni kwa uzurulaji.mia
 
Dah kile kiwanja changu cha kula zile kokwa zA mbuzi pale nje. Hua naanza na zile korodani choma kama ishirini hivi halafu napiga na kasichana ka konyaji ile mijizi ikinifata mezani nashika mmoja nginjanginja kwenye premior yangu kalasi

hahahaaaa...!!mia
 
siku moja nlimuokota pale msasani club.tukaenda guest.nikajifanya mjanja nkachukua self.nlipotaka kulala kitanda nikakivuta usawa wa mlango ili asintoloke.ile naamka asubuhi najikuta peke yangu.kuangalia vizuri kumbe nlikuwa nmejichanganya ule mlango ulikuwa unafunguka kwa nje.dah!pombe ni noumer.mia

mkuu hawa viumbe inaonekana wanakuonea sana.mia
 
wale wa sinza umpate mapema kwenye saa tano usiku.lakini ukimfuata saa10 usiku unakuta wamechoka hata kutembea hawawezi.halafu wanamasharti.utasikia ooh!..mi sijazoea kuinama.halafu wale wa sinza ni double shift.mchana unamkuta pale mlimani city masamaki anajifanya anakunywa juice,jioni kwenye saa 11 unamkuta pale hongera au breakpoint knyama,usiku unamkuta ambiance na sansiro ndo maana unakuta kachoka.mia

Daaaah yani nilikua sijaelewa kitu mpaka hapa ndio nikawa mstarini
 
Back
Top Bottom