asiyetabirika
Member
- Oct 14, 2019
- 46
- 55
Kulikuwa na wimbi kubwa sana la vitabu na na notes mbalimbali vilivyokuwa vimechapishwa na na kutungwa na Nyambari Nyangwine, ilikuwa si rahisi kwa mwanafunzi unayejua kujitafutia material/notes halafu usivitumie vitabu vya Nyambari Nyangwine.
Kutokana na harakati za kipindi hicho hasa kwenye hizi shule zetu za mwanafunzi kukomaa mwenyewe kwa sehemu kubwa, kipindi hicho mwalimu anakwambia 75% utafute mwenyewe yeye mchango wake ni 25% tu, sasa hapo ni full kupambana ila kwa sehemu kubwa materials nyingi zinapatikana kwenye vitabu vya Nyambari Nyangwine.
Kutokana na hizo harakati leo nipo sehemu nzuri ambayo kimsingi inanipa mkate wa kila siku. Je, wewe upo wapi leo?