Mzee tukikutana na watu wa Jumuia Sec., huwa hadithi za nani ataibuka mbabe. Mechi ikiisha ni vichapo vya kufa mtu.Daar aisee 90s kitambo sanaa kwel jf inatuleta pamoja maana hii miaka mm natambaa watu wanapiga shule na kupishana koridon usagara
Dah kitambo sana nimkumbuka jamaa yule Salimu hivi yupo pande za wapi?Hahaha jf forum ukute ww nimshikaj Wang tulikuwa tunakesha wote mbu area tunakula msuli ilaa kisa ID hatusoman
Sijui aliendaga wap asee alikuwa ustaz wa mweny msimamo mkalDah kitambo sana nimkumbuka jamaa yule Salimu hivi yupo pande za wapi?
Mm nahc enz za nyerere hayakuwepoToka 76 basi USAGARA bonge ya skonga.
hivi wale wa miaka hiyo
masuala ya udini yalikuwepo?
Hahahaaaaaa ilikuwa unaulizwa USA ukishindwa kujibu ni kichapo tu...Wale mliokuwepi kwenyw lile varangati la kwenda kupiga wanakijiji pale usagara mabangi kisa mwenzenu kaibiwa simu mje hukuuuuui
Duuh so sadMgavao R.I.P tangu 90's
Zamani ile shule ilikuwa ya Wahindi na baadae ikachukuliwa na Serikali. Mbona hakukuwa na udini. Walikuwepo wanafunzi wa dini zote napia walimu walikuwa mchanganyiko wa dini zote. Tulikuwa pamoja kwenye michezo, skauti na Red Cross, sikuwahi kuona mambo ya udini. Nakumbuka kulikuwa na kwaya nzuri sana. Mimi nilikuwa Mapinduzi House na kiranja wetu alikuwa Mkristo. Tulikuwa tuna ushirikiano wa hali ya juu. Mtifuano ulikuwepo wakati wa uchaguzi wa Head Prefect kati ya Kidato cha Tano na Sita huku hawa kidato cha kwanza hadi cha nne wakiwa na mgombea wao. Kuna wakati kidato cha tano na sita walifanya mgomo na tuliwasaidia sana kwa kuhakikisha wanakuwa na umoja. Huo mgomo ulisaidia kupatikana kwa walimu wao kama kina Mohamed na wengineo.Toka 76 basi USAGARA bonge ya skonga.
hivi wale wa miaka hiyo
masuala ya udini yalikuwepo?
Hapana palikuwa hamna udini. Usgara ya zamani sana kabla ya hapo ilikuwa inaitwa Kamrijee sec.Toka 76 basi USAGARA bonge ya skonga.
hivi wale wa miaka hiyo
masuala ya udini yalikuwepo?
Hahaaa long time aisee kambi ya fidifosi ilihamia pake skul,Haya bana classmate 2009. Mr. Kisinza Hostel master. Pia nakumbuka tukio la wanafunzi wa kiislam CBG kutaka kumuua mwl GS kwa ajili kusema vibaya mtume wao. Mkwizu Mkuu aliyekuwa anatumia usafiri wa baiskeli kutoka usagara mpaka sahare
Hahaa dah umenikumbasha mbali sanaa. Haf we si tulikuwa tunakaa palee anex cube iliyo karibu na galaxHahaaa long time aisee kambi ya fidifosi ilihamia pake skul,
Ula hapo kwa mkwizu umempa maujiko sana mzee alikuwa mkoloni yule alikuwa anatembea kwa mguu, akiingia yeye tu geti lina fungwa,
Akiata wito a kikao anatumia LORI la shule na lilikuwa haliwaki hadi darasa moja litolewe mkalisukume.
Kweli usagara sitakusahau...
Samahani mzee wangu naomba niweke sawia kumbukumbu, ni Karimjee Secondary SchoolHapana palikuwa hamna udini. Usgara ya zamani sana kabla ya hapo ilikuwa inaitwa Kamrijee sec.
Nikweli kabisa hayana tofauti...Shule ameisoma bi Mkubwa wngu, aliniambia majengo yake yanafanana na Azania , Tambaza.
Hizi shule zilikuwa za jumuia ya Kamrimjee family ndio maana mchoro wa majengo umefananaShule ameisoma bi Mkubwa wngu, aliniambia majengo yake yanafanana na Azania , Tambaza.
Yanafanana sana na Dodoma SekondariShule ameisoma bi Mkubwa wngu, aliniambia majengo yake yanafanana na Azania , Tambaza.
Ndio pamoja na Tambaza, Azania zote hizi zilikuwa mali ya karmjee family.Samahani mzee wangu naomba niweke sawia kumbukumbu, ni Karimjee Secondary School
Ni sawa sawa, shule pamoja na ukumbi wa Karmjee Hall pale Dar vyote vilikuwa vya familia ya Karimjee Jivanjee. Ni familia tajiri sana ila kuna siku hawa Wahindi watadai mali zao, sijui itakuwaje.Ndio pamoja na Tambaza, Azania zote hizi zilikuwa mali ya karmjee family.
Aisee, inabid one time tufanye kama get together hivi.Hahaha 2011 pcm