Salary Eclipse
Senior Member
- Sep 5, 2016
- 188
- 122
HEAT



Ulipiga Musoma Tech? Umenikumbusha neno "GININGI"KITU CHA GININGI
hahaha nilikuwa sengerema high schoolUlipiga Musoma Tech? Umenikumbusha neno "GININGI"
Hata Musoma Tech hilo jina LA Giningi tulikuwa nalo.hahaha nilikuwa sengerema high school
Musoma tech enzi hizo serikal kibao Mara o planet, ODM,Gining c mchezoUlipiga Musoma Tech? Umenikumbusha neno "GININGI"
Nelkon,ROGERS (TSH 90000) Enzi zile,sijui ckuhz wanauzajedaaa universe physics na roger makasta ndo vitabuu vyangu HV full kuejoy physics
Jamani hio "tizim" ni topic ya Physics? Mbona ngeni kwangu?Ntaanzisha tuition humu naona watu mmeteseka kumbe.
Haya mambo easy kabisa....
Tizim na mechanics ni urefu tu ila tamu.
Wave tamu vile unaitaja vipi eti ngumu? acheni maskhara nyie
Ha ha ha hiyo ni Magnetism.... sema swaga tuJamani hio "tizim" ni topic ya Physics? Mbona ngeni kwangu?

HAHAAA USINCHEKESHE MIMI...UNATOA MACHO KAMA FUNDI SAA AILEBANWA NA MLANGO...
Hahahahaa, mkuu hapo hukawii kujitungia swali. Kuna jamaa mmoja tulisoma naye pepa ilimtoa mwanzo mwisho. Kilichofuata ni jamaa akajitungia maswali yake na kisha akayasolve vizuuuri.
Kuja kurudishiwa pepa, ticha kamuuliza. Akamwambia sasa ticha hivyo nilivyoaolve ndo nilivisoma, na wewe hjjatoa niliposoma. Si ningepata zero, nimfanya hivyo ili uone namna ulivyonipiga chenga.
Watu wote tuliangua vicheko, mwalimu akampa 20%

mzee nilikua naipenda physics mpaka watu wakanita Mudyton walijua nina undugu na Newton. Yaani kuna maswali magumu ya physics kwenye kitabu cha university physics (UP) watu walikua wanayawekea vidoti, mimi ndio nilikua naviondoa hivyo vidoti. wakanipa jina mzee wa kuondoa vidoti. Yaani nikikumbuka physics ya advance ilikua raha sana. matopic kama heat, wave, static na current electricity, electronics. full mzuka.
98%physics????Hakuna cku nilifurqhi kusoma phyz kama cku Ticha alijichanganya kuleta pepa la mock ilipita pepar 2 niliyapiga yoote ipasavyo ,ticha akaona uchungu kinipa 100 akanipa 98 eti kulinda heshima yake but still nilionekana newton and Faraday put together class kwetu.Shikamoo Ticha Dullah muheza high school