Wale tuliosoma advanced physics

Wale tuliosoma advanced physics

Projectile, ilikuwa ukifundishwa unaelewa vizuri sana, sasa maswali kwenye mtihani hatari, unakuta swali lina assumptions kama 3 hivi ndio ufanikiwe kulifanya. Yani kuna aina ya maswali kama hukuwahi hata mfano wake na assumptions zake HUPATI kabisa.
Hakuna cku nilifurqhi kusoma phyz kama cku Ticha alijichanganya kuleta pepa la mock ilipita pepar 2 niliyapiga yoote ipasavyo ,ticha akaona uchungu kinipa 100 akanipa 98 eti kulinda heshima yake but still nilionekana newton and Faraday put together class kwetu.Shikamoo Ticha Dullah muheza high school
 
weeeeeeeeeee ELECTROMAGNETISM NI TATAIZO LA MOYO WANGU.

Unakutana na Solenoid na toroid, mara sijui uderive formula ya magnetic force, magnetic field intensity. Yaani makorokocho kibaaaaao. Ukigeuka huku sijui rotation of rigid body na strain na stress zake, hujakaa sawa unakutana na loops za umeme hujawahi ziona duniani wala mbinguni. Halafu eti mwishoooni unachombezwa na Geophysics.

Hahahahahaaaa.

Yaani physics kwa ujumla wake ilikuwa ni Adui, tena kubwa la maadui.
 
Electromagnetism, mechanics. Nadhani 70% ya topic za Physics zilikua kichomi. Mungu mkubwa sijui nilipataje E. Nilijua safari yangu ya elimu iliishia form six. Nijiona genius baada ya kusoma PCM na nikaenda chuo. Maana mtoto wa kike afu sistaduu haikua rahisi saba
 
Topic tamu hii..Daah

Nilikuwa napenda kuchora zile Electronics Gates..

Mkuu logic gates hapo ilikuwa bado hujamaliza Electronics. Hahahaaaha, ngoma ilikuwa inaendelea kwenye Bistable, Monostable na Astable multivibrators. Uchore sakiti zake na uelezee. Ukitoka hapo unaingia katika OPAMP, hujakaa sawa unarudishwa katika calulations za oscilators na amplifire. Kisha ndo unaachiwa upumue katika hivyo vilogic gates.

Dah ila tumeteseka sana aisee. Huku ukiangalia hakuna guide sylabus toka wizara, wala hakuna kitabu official cha wizara, kila mtu anasoma anachojua yeye.
 
rotaional motion ilikuwa kichomi,, nakumbuka kuna kitabu flan hv kilikuwa kinaitwa SHARMA,, kilikua na maswali na solutions zake nyng sana,,

All in all physics ina heshma yake jaman
 
Hakuna cku nilifurqhi kusoma phyz kama cku Ticha alijichanganya kuleta pepa la mock ilipita pepar 2 niliyapiga yoote ipasavyo ,ticha akaona uchungu kinipa 100 akanipa 98 eti kulinda heshima yake but still nilionekana newton and Faraday put together class kwetu.Shikamoo Ticha Dullah muheza high school

Hahaahaha, kumaliza pepa lazima ufurahi. Maana kwa phsics kuishia katika Data given na kuacha nafasi ya kuja kulirudia swali ilikuwa kitu cha kawaida sana.
 
Electromagnetism, mechanics. Nadhani 70% ya topic za Physics zilikua kichomi. Mungu mkubwa sijui nilipataje E. Nilijua safari yangu ya elimu iliishia form six. Nijiona genius baada ya kusoma PCM na nikaenda chuo. Maana mtoto wa kike afu sistaduu haikua rahisi saba

Halafu watu wanaisingizia hesabu ngumu, hata huyo Newton mwenyewe ukimfufua leo ukamuuliza kati ya hesabu na physics nani adui utasikia majibu yake.

wewe nawe hukuona vitu virahisi vya kusoma mpaka ukaenda kujitumbukiza katika hii shubiri ya duniani.?

wewe nawe hukuona vitu virahisi vya kusoma mpaka ukaenda kujitumbukiza katika hii shubiri ya duniani.?

Hahahaahahahaa. Sikua na option. History ilinishinda sababu ya muandiko. Science ndo pekee ningeweza kusoma. Ila PCM niliinyooshea mikono. Ukisoma unaelewa. Nenda kwenye pepa. Kila kitu unakiona kipya.
 
Hahahaah, unaishia definition tuu na kuandika data na kanuni unazozikumbuka. Utata unaanziaga pale unapoandika kanuni halafu unakuta data kibaaaao huna.

Hukawii kucoment swali limekosewa.
 
Electromagnetism,vipengele vya kutosha unasoma mpaka unasahau vya mwanzo.
 
Electromagnetism, mechanics. Nadhani 70% ya topic za Physics zilikua kichomi. Mungu mkubwa sijui nilipataje E. Nilijua safari yangu ya elimu iliishia form six. Nijiona genius baada ya kusoma PCM na nikaenda chuo. Maana mtoto wa kike afu sistaduu haikua rahisi saba
HEEE!!! E KABISA NA UNAMTAJA MUNGU...MIE NLIJIPATIA B NA WALA SIKUMBUK TOPIC ATA MOJA
 
Back
Top Bottom