Wale tuliosoma advanced physics

Wale tuliosoma advanced physics

Hahahaah, unaishia definition tuu na kuandika data na kanuni unazozikumbuka. Utata unaanziaga pale unapoandika kanuni halafu unakuta data kibaaaao huna.

Hukawii kucoment swali limekosewa.
HAHAAA USINCHEKESHE MIMI...UNATOA MACHO KAMA FUNDI SAA AILEBANWA NA MLANGO...
 
Ntaanzisha tuition humu naona watu mmeteseka kumbe.

Haya mambo easy kabisa....

Tizim na mechanics ni urefu tu ila tamu.

Wave tamu vile unaitaja vipi eti ngumu? acheni maskhara nyie
 
Kusema ukweli hakuna somo nilitokea kulipenda kama physics.nilikomaa na topic zangu 5 sikuisoma tonics na modern ila nashukuru Mungu nilipata alama nzuri.ila topic nilizopenda ni zile zenye neno force
 
Advance, PCB ilinifanya nguvu ya Physics ipungue. Maama nguvu nyingi iliendaBiology na Chemistry, ila O level ilikuwa ni A tu Physics, iwe test iwe nini.
Heshima kwako Physics, maana ina hesabu ndani yake, na reasoning, utasikia tuna assume hiki na kile kwa sababu hivi na vile kwa hiyo inakuwa hivi!
 
da physics ilikua tamuu ukisoma palee down kwa mgoteeee ,unaenda XKUL kupga maswaliii tuuu
 
Sina hamu na Physics ilinivutia na matokeo nilokua nayapata, Ila ilichonifanya NECTA sitasahau kamwe
 
kwa anayefahamu wakuu , swali ni hivi nilihitm kidato cha nne 2014 lakn kwenye physics , geography na mathematics nili feli sasa nata ku re seat physics ili niende advance na pcb sasa suala ni kuwa wanaweza dai hata credit ya math, na ni shule ipi ni nzuri kwa Dar es saalam
 
mzee nilikua naipenda physics mpaka watu wakanita Mudyton walijua nina undugu na Newton. Yaani kuna maswali magumu ya physics kwenye kitabu cha university physics (UP) watu walikua wanayawekea vidoti, mimi ndio nilikua naviondoa hivyo vidoti. wakanipa jina mzee wa kuondoa vidoti. Yaani nikikumbuka physics ya advance ilikua raha sana. matopic kama heat, wave, static na current electricity, electronics. full mzuka.
 
Mkuu logic gates hapo ilikuwa bado hujamaliza Electronics. Hahahaaaha, ngoma ilikuwa inaendelea kwenye Bistable, Monostable na Astable multivibrators. Uchore sakiti zake na uelezee. Ukitoka hapo unaingia katika OPAMP, hujakaa sawa unarudishwa katika calulations za oscilators na amplifire. Kisha ndo unaachiwa upumue katika hivyo vilogic gates.

Dah ila tumeteseka sana aisee. Huku ukiangalia hakuna guide sylabus toka wizara, wala hakuna kitabu official cha wizara, kila mtu anasoma anachojua yeye.

Mkuu lakini kumbuka primitives zote ulizo taja hapo ndiyo zinahunda Computers na smartphones.
 
mzee nilikua naipenda physics mpaka watu wakanita Mudyton walijua nina undugu na Newton. Yaani kuna maswali magumu ya physics kwenye kitabu cha university physics (UP) watu walikua wanayawekea vidoti, mimi ndio nilikua naviondoa hivyo vidoti. wakanipa jina mzee wa kuondoa vidoti. Yaani nikikumbuka physics ya advance ilikua raha sana. matopic kama heat, wave, static na current electricity, electronics. full mzuka.
daaa universe physics na roger makasta ndo vitabuu vyangu HV full kuejoy physics
 
Back
Top Bottom