Daaa nilipiga PCB...physics kwangu niliamua niisome kwa moyo mmoja ili nipate MD...
Nakumbuka niliwai fundshwa tonics tuition mwanzo mwisho sikuielewa jamaa akala pesa yangu...nilipokuja kukaa nikatulia school niliona tonics iko easy sana
Topic kama heat nilikua napenda nikutane nayo sana ilikua kwangu normal kimtindo aisee
Kasheshe ilikua kwenye electromagnetism aisee hahahaha nakumbuka niliamua kukalili tu liwalo na liwe...nilikua nasoma leo nikitafuta maswali nipige hayaendi nikaamua kumeza chand tu
Topic zingne kama modern, current, static, mechanics,zilikua 50 50 kwangu napiga Sometimes zinanipiga
Nakumbuka kwenye tonic unapewa zile gate utengeneze table za true and False nilikua nazipiga sana...Kasheshe ilikua upewe zile table za true and False afu ugundue ni logic gate gan na uichore hahahaha sikua nafanya ilo swal...nampeleka rafiki yangu anifundishe ananiwekea na concept za pure maths hahahaha nikamua kutemana nayo