EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Hivi hiyo Yohana ndiyo John.labda ni st.Johns university ile ya Buguruni MalapaYohana Alumni Marathon 2021
AIONE (kwenye jalada): Mkurugenzi Mteule (Mstaafu).
Umeambiwa Yohana wewe unaleta hadithi zako. Mkurugenzi kashakua mpaka Waziri wa Sheria huko sijui Yohana University. TPDC wapo wasomi na PhD zao kutoka University of Oslo (Norway) ghafla Mkurugenzi Mkuu toka Yohana University huyu hapa. Day One briefing wangejionea maajabu ya Mkurugenzi huyuHivi hiyo Yohana ndiyo John.labda ni st.Johns university ile ya Buguruni Malapa
Sawa mkuu,tatizo ni chuo kutokujulikana au uwezo wake?Umeambiwa Yohana wewe unaleta hadithi zako. Mkurugenzi kashakua mpaka Waziri wa Sheria huko sijui Yohana University
Ukijue ili iweje?Sawa mkuu,tatizo ni chuo kutokujulikana au uwezo wake?
Amejuta sana kupitia njia za panya, wabongo wamemunyoosha sana leoHuyu jamaa leo imekuwa siku ngumu kwake
Wengine wachokozi sio.Yohana Alumni Marathon 2021
AIONE (kwenye jalada): Mkurugenzi Mteule (Mstaafu).
🐹🐹🐹🐹🐹🐹🐹Wengine wachokozi sio.
Nadhani kwasababu hakuapishwa, haitatosha kukaa kwenye CV.Kaongeza CV au hii haikai kwenye CV?
hahahahaaaaaa, aiseMkurugenz mstaafu wa TPDC
Mteule.Nadhani kwasababu hakuapishwa, haitatosha kukaa kwenye CV.
Nimesema nadhani.
Tumwache mstaafu apumzike akingojea pensheni.Mkurugenz mstaafu wa TPDC