Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

Kiukweli huyu ni mpakwa mafuta!

Huko nyuma tumeshuhudia baadhi ya wateule wa rais wakitumbuliwa kwa fedheha kubwa baada ya kuteleza kidogo tu ktk utendaji wao.

Lkn huyu mpakwa mafuta kakwepa kodi halafu anaambiwa tu kirahisi rahisi kwamba alipe kodi.
Ni mshangao. Kuna waliotumbuliwa hata kwenye majukwaa ya mikutano ya kisiasa, au hata kuagizwa kuchunguzwa.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Sababu ya msingi itayomfanya atumbuliwe bado sijaiona, kuagiza kontena sio dhambi, kuomba ufutiwe kodi sio dhambi na kukataliwa ombi la kufutiwa kodi pia sio dhambi, ila watz wengi wanaishi kwa mihemko na umbea umbea ndio maana kila kitu wanakichukulia kimbea na mihemko kutumbuliwa au kujiuzuru mtu sio rahisi kama ambavyo vichwa box vingi vya Tanzania vinavyofikiri, hivi kwa mfano Makonda akitoka kwenye nafasi yake haikufanyi wewe kufanikiwa kimaisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Wengi wetu humu jf, ni watu wa matukio, yaani wanajikita zaidi katika tukio, kilichotokea, lakini wale wasoma trends humu ni wachache, mimi ni mmoja wao. Trends ni the motive behind, the causative agents na the underlying facts. Likitokea tukio, hatujiulizi kuhusu ni nini kilichotokea kwenye tukio fulani, bali tunakwenda mbali zaidi kwa kujiuliza kilichosababisha tukio hilo kutokea, the underlying facts na causative agents, na kumalizia na the motive behind.

Hivyo jana baada ya Rais Magufuli, kuyasema aliyoyasema kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, na ukwepaji kodi wa Makontena, kuna wengi ambao ni watu wa matukio, sasa wanasubiri kwa hamu na shauku kubwa kusikia Makonda ametumbuliwa!, Makonda hatatumbuliwa kwa sababu...

Wale wote wenye kusibiri hilo litokee, kiukweli kabisa, watasubiri sana!.
Sababu pekee halisi itakayofanya Makonda asitumbuliwe sitaitaja hapa, ila nakuwekea tuu uthibitisho kuwa Makonda ni mpakwa mafuta. Ukiwa ni mpakwa mafuta, then wewe ni mpakwa mafuta tuu, no matter what, hivyo haya yote yanayoendelea sasa kuhusu sakata la makontena ya Makonda, ni mapito tuu, hiyo kodi italipwa na maisha yataendelea.

Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums

P.
Mafuta yenyewe lazima ni keiwai jeli na sii mengine.
 
Ukweli ni kuwa kwa Makonda rais amekwama hata akiongea kuhusu hili unamuona kabisa anaongea kwa unyonge ni kama amelazimika tu. Hatua alizokwisha chukua kwa wengine usingetegemea awe soft namna hii kwa bashite. Ndio maana naye bashite ameendelea kutamba kuwa bado kuna makontena mengine yanakuja na anaonesha wazi kuwa ni yeye ndiye anayepewa misaada hiyo kuonesha kiasi gani alivyokuwa na nguvu. Angekuwa ni mwingine muda huu angesha jiuzulu hasa ukiongeza na migambo yake inavyopiga na kujeruhi watu kwenye operesheni zake za usafi. That boy is untouchable!
 
Dhalimu haheshimiwi,dhalimu hana mwisho mwema,dhalimu hudhalilisha huku akiwa na shauku.Msaada wa dhalimu huishia kidhalim.
all in all mbio za sakafuni huishia ukingoni.too much and excess is harmful.
 
Mafuta haya bro Paskal?

IMG_20180901_132702_792.JPG
 
Back
Top Bottom