Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

Wanabodi,

Wengi wetu humu jf, ni watu wa matukio, yaani wanajikita zaidi katika tukio, kilichotokea, lakini wale wasoma trends humu ni wachache, mimi ni mmoja wao. Trends ni the motive behind, the causative agents na the underlying facts. Likitokea tukio, hatujiulizi kuhusu ni nini kilichotokea kwenye tukio fulani, bali tunakwenda mbali zaidi kwa kujiuliza kilichosababisha tukio hilo kutokea, the underlying facts na causative agents, na kumalizia na the motive behind.

Hivyo jana baada ya Rais Magufuli, kuyasema aliyoyasema kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, na ukwepaji kodi wa Makontena, kuna wengi ambao ni watu wa matukio, sasa wanasubiri kwa hamu na shauku kubwa kusikia Makonda ametumbuliwa!, Makonda hatatumbuliwa kwa sababu...

Wale wote wenye kusibiri hilo litokee, kiukweli kabisa, watasubiri sana!.
Sababu pekee halisi itakayofanya Makonda asitumbuliwe sitaitaja hapa, ila nakuwekea tuu uthibitisho kuwa Makonda ni mpakwa mafuta. Ukiwa ni mpakwa mafuta, then wewe ni mpakwa mafuta tuu, no matter what, hivyo haya yote yanayoendelea sasa kuhusu sakata la makontena ya Makonda, ni mapito tuu, hiyo kodi italipwa na maisha yataendelea.

Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums

P.
Mbona inajulikana toka uitwe dodoma umeshakuwa mtoto mtiifu kwa Bashite na kijukuu cha Jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mafuta anapakwa sehemu gani ya mwili mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha atumbuliwe na nani sasa wakati makonda na magufuli ni squad ya mafisadi wa style mpya mbaya kuliko hata ufisadi wa akina kikwete hawa wanajilimbikizia mali wenyewe james doto pale hazina mjomba wa mazee anawachotea tu mapesa
 
Sababu ya msingi itayomfanya atumbuliwe bado sijaiona, kuagiza kontena sio dhambi, kuomba ufutiwe kodi sio dhambi na kukataliwa ombi la kufutiwa kodi pia sio dhambi, ila watz wengi wanaishi kwa mihemko na umbea umbea ndio maana kila kitu wanakichukulia kimbea na mihemko kutumbuliwa au kujiuzuru mtu sio rahisi kama ambavyo vichwa box vingi vya Tanzania vinavyofikiri, hivi kwa mfano Makonda akitoka kwenye nafasi yake haikufanyi wewe kufanikiwa kimaisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wako ni kuchambua mchele Tu.. Huku unalazimisha tu
 
Wanabodi,

Wengi wetu humu jf, ni watu wa matukio, yaani wanajikita zaidi katika tukio, kilichotokea, lakini wale wasoma trends humu ni wachache, mimi ni mmoja wao. Trends ni the motive behind, the causative agents na the underlying facts. Likitokea tukio, hatujiulizi kuhusu ni nini kilichotokea kwenye tukio fulani, bali tunakwenda mbali zaidi kwa kujiuliza kilichosababisha tukio hilo kutokea, the underlying facts na causative agents, na kumalizia na the motive behind.

Hivyo jana baada ya Rais Magufuli, kuyasema aliyoyasema kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, na ukwepaji kodi wa Makontena, kuna wengi ambao ni watu wa matukio, sasa wanasubiri kwa hamu na shauku kubwa kusikia Makonda ametumbuliwa!, Makonda hatatumbuliwa kwa sababu...

Wale wote wenye kusibiri hilo litokee, kiukweli kabisa, watasubiri sana!.
Sababu pekee halisi itakayofanya Makonda asitumbuliwe sitaitaja hapa, ila nakuwekea tuu uthibitisho kuwa Makonda ni mpakwa mafuta. Ukiwa ni mpakwa mafuta, then wewe ni mpakwa mafuta tuu, no matter what, hivyo haya yote yanayoendelea sasa kuhusu sakata la makontena ya Makonda, ni mapito tuu, hiyo kodi italipwa na maisha yataendelea.

Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe Walilolikataa Waashi Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni - JamiiForums

P.
Tumesoma wengi lakini watakaomuelewa Pascal ni wachache sana.
Huyu ni miongoni mwa wachache waliomuelewa Mh.Rais aliposema "....ukinipangia cha kufanya ndio unapoteza kabisaaa..."
Laiti wanaotaka Makonda atumbuliwe wangekuwa wanaandika kwa namna Pascal anavyoandika mhusika angekuwa ameshasahaulika zamaaani.
"......mimi huyu huyu unipangie cha kufanya?! Ihiiiiiiii!!"
Endeleeni kukomaa atumbuliwe ili andiko la Pascal litimie.
 
Pascal unatumia lugha ngumu sana, hivi unajua vitu vigumu hatupendi. Ila ukituonea huruma ukaandika kwa lugha ya kwetu yala kwako.
 
Naona paskali kwetu ni njaa unatoa tu like kwa kila anaye comment kwenye Uzi wako. Ngoja na mie nisipitwe hivi hivi kwani ni mdau wa kupenda likes. Unachonifurahisha hata yule anaekutusi bado unamzawadia like. You have a purple heart

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gambo na genge lake kwenye ujumbe unaosambaa mitandaoni wanasema hawezi tolewa anampumzisha mzee ha ha raha ilioje ukiwa mtoa huduma
 
Asalaam Wadau;
Ni muda sasa tangu sakata la makontena lianze.Wahenga walisema Mchuma janga hula na wa kwao na mchelea mwana kulia,hulia mwenyewe.

Basi nisema kwamba kama JPM asipomtumbua PM basi iko siku PM atamtumbua JPM ni swala la wakati tu.Kama hilo lispotokea basi lao ni moja.

Na kama lao ni moja basi tuliweke taifa letu katika maombi kwani kesho yetu hatuijui
PBK
 
Back
Top Bottom