Wale IT expert hili mnalitatua vp

Wale IT expert hili mnalitatua vp

mkuu AgentX na Chief-Mkwawa niwaulize kitu kulingana na hasara niliyo pata kwenye sd card mara tatu, kuna ubaya gani ku save vitu online

Mkuu pole sana.

Nadhani utajifunza hapa leo

Kuhusu uhifadhi wa mtandaoni (cloud. ) ni mzuri tu kama tu kama unavyohifadhi si nyeti mno. Kuhusu picha. Mimi nahifadhi picha zangu pendwa ktk google photos. Hivyo ziko salama (nina uhakika japo si 100%) ila nikizihitaji nazipata. Pahala popote pale bila hata device yangu.

Mkuu mimi huku nilipo net iko chini.... na chaji inakwenda mrama. Na umeme umekatika.... naomba Chief-Mkwawa aendelee kuhusu cloud storage.

Nawakimbia kidogo. Ila nitakuja kuwapa maelezo kesho tu. Mkiwa hamjapata mwangaza bado. Kuhusu cloud storage
 
Last edited by a moderator:
umeona ss mambo ya san disk! nishauri kuhusu clouds stores zipo vp

Kwa vitu vya kawaida tumia google drive. Kwa vitu vya umakini kidogo. Tumia one drive au mega app(50 gb hutoa mega kwa storage online kwa watu wa kawaida)
Zote hizo hupatikana play store na kazi yake ni moja tu. Uhifadhi wa vitu..... cha kufanya wewe fuata maelezo tu. Ni rahisi mno. Ila itakuladhimu ufungue akaunti
 
Pole sana mkuu. Ila nikupe pole... kwa picha tu. Hicho si kifungashio halisi cha sd card za san disk. Hivyo huenda ikawa ni bidhaa iliyogushiwa na haina ubora

Kwahiyo hamna namna naweza fanya ili ziweze kufunguka tena? Maana nikizi fungua zinagoma
 
Mkuu pole sana.

Nadhani utajifunza hapa leo

Kuhusu uhifadhi wa mtandaoni (cloud. ) ni mzuri tu kama tu kama unavyohifadhi si nyeti mno. Kuhusu picha. Mimi nahifadhi picha zangu pendwa ktk google photos. Hivyo ziko salama (nina uhakika japo si 100%) ila nikizihitaji nazipata. Pahala popote pale bila hata device yangu.

Mkuu mimi huku nilipo net iko chini.... na chaji inakwenda mrama. Na umeme umekatika.... naomba Chief-Mkwawa aendelee kuhusu cloud storage.

Nawakimbia kidogo. Ila nitakuja kuwapa maelezo kesho tu. Mkiwa hamjapata mwangaza bado. Kuhusu cloud storage

Kwa vitu vya kawaida tumia google drive. Kwa vitu vya umakini kidogo. Tumia one drive au mega app(50 gb hutoa mega kwa storage online kwa watu wa kawaida)
Zote hizo hupatikana play store na kazi yake ni moja tu. Uhifadhi wa vitu..... cha kufanya wewe fuata maelezo tu. Ni rahisi mno. Ila itakuladhimu ufungue akaunti

wakuu nimewaelewa sana ngoja ni check playstore tena
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo hamna namna naweza fanya ili ziweze kufunguka tena? Maana nikizi fungua zinagoma

Mkuu sidhani.... Hdd tu hufaga. Na inashindikanaga kabisa kupat kilicho ndani. Je sembuse sd card? Hivyo kubali mAtokeo. Nadhani umepAta somo. Kuwa makini.... ktk ununuzi
 
Sawa mkuu, japo zimeniuma sana lakini sina namna tena.
 
Kwani hakuna kitu inaitwa Recovering Programme ili iweze kuback up information zilizokuwa kwenye memory card iliyoharibika imbayo imetumika kwenye gadgets.
Namaanisha Kifaa kilichotumia hiyo Memory card kabla , je hakiwezi kuwa na kumbumbuku yoyote ya hiyo memory card, then kuanzia hapo Back up programme itumike kurudisha information zingine za hiyo memory card?

*Mimi sio expert kabisa wa mambo ya IT, nimejaribu kuunganisha mawazo yangu tu, then nimeuliza nipate kujua.
 
Ngoja tusubiri mchango wa wazee wa IT, lakini mm nilikuwa natumia Samsung galaxy s4
 
hii ya tatu ni android tecno y3, kwa pc natumia windows 7 ultimate

Kwanza moja nimegundua utakuwa huwa unachomoa memory card pasipo kuzima simu,na pili inabidi utumie dos command kuyapata hayo mafile.
 
Kwani hakuna kitu inaitwa Recovering Programme ili iweze kuback up information zilizokuwa kwenye memory card iliyoharibika imbayo imetumika kwenye gadgets.
Namaanisha Kifaa kilichotumia hiyo Memory card kabla , je hakiwezi kuwa na kumbumbuku yoyote ya hiyo memory card, then kuanzia hapo Back up programme itumike kurudisha information zingine za hiyo memory card?

*Mimi sio expert kabisa wa mambo ya IT, nimejaribu kuunganisha mawazo yangu tu, then nimeuliza nipate kujua.

hauwezi, unless ulifanya backup ya memory card kwenye internal memory. na pia haimake sense kufanya backup ya memory card (ambayo umeinunua ikuongezee storage) kwenye internal memory (ambayo ilikuwa haitoshi)
 
Kwanza moja nimegundua utakuwa huwa unachomoa memory card pasipo kuzima simu,na pili inabidi utumie dos command kuyapata hayo mafile.

memory kwenye simu huwa siitoi labda kama nabadili simu na hata kama natuitumia kwenye pc huwa natumia usb cable tu na tatizo lililo ikumba ni kwamba hata nitumie card reader au usb cable haionyeshi/haisomi kwenye pc wala simu
 
Na jambo jingine ambalo nimegundua pia,memory card zako nyingi zinakufa sababu una zi expose to high area za ku attract virus,unapo kuwa unatumia kwenye pc na Ant virus ya pc yako hauiaupdate mara kwa mara ina maana memory card yako inakuwa inashambuliwa na virus ambao wana isababishia kuwa mul functional kwa kiswahili ni kwamba inakuwa haifanyi kazi.

CHA KUFANYA
1.Inabidi utumie dos comnand kusoma data zilizo ndani ya memory card kama unataka kujua kama bado inafanya kazi au ishakuwa mul functional.
2.Jitahidi ununue external hard disk ambayo utakuwa una hifadhia data zako ili kuondokana na kutumia memory card yako kama external device ya kutunzia data,hii itaepusha memory card yako kutokuwa katika high level of attracting virus.
3.Jalibu kurestart computer yako huku ukiwa ume insert hiyo memory card kwenye computer kwa kutumia card reader,halafu kama inasoma jalibu kuformat ili uone kama inaleta msg ya kuruhusu hiyo operation,kama inaleta ina maana unaweza kutumia recover software au command kuludisha data zako.
4.Fanya pc dignosis.
 
unajua memory card zimerahisisha mengi ( portable storage devices) na nyingine zina uwezo wa kuridhisha kulingana na nn mtu unata kuifadhi na matumizi yako, hii ni mbadala wa kuzurula na ma laptops na externa hard disks ila ndio inakua bahati mbaya zina haribika kama zinavyo haribika pc na hdd, utofauti wake ni kwamba pc na hdd zinatengenezeka kirahisi kuliko sdcard! procedures zote ulizo horozesha nimezifuata kasoro dos command naijua ila huwa inanichanganya coz sio IT nayo sidhani kama itafanikiwa kwa sababu ni haidomi kabisaaaa
 
Back
Top Bottom