VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,466
Baada ya uongozi kuwafukuza wanaojitafutia rizki kwa kuuza vitu mbali mbali na mitaji midogo, isiyozidi dola 10,
uongozi wao ulidai umewatengea maeneo ya biashara, kuzuia uwepo wao barabarani. Cha ajabu, kila mmoja aliombwa elfu 20 ya Rwanda, ili aweze kupata nafasi. Walengwa, wanadai mbali na pesa hiyo, ushuru na michango mbali mbali bado, na kilichofanyika, uongozi uliwapa watu wasiojulikana maeneo wanayofanyia kazi.
Kwa ujumla, viongozi wengine ndo chanzo cha matatizo ya raia waliowachagua