Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

kiti moto ni haramu-najisi (HARMFUL)

Mwisho mbaya wa walao nguruwe katika Biblia

14Wakati mtakapoona jambo hili, mioyo yenu itashangilia,

nanyi mtastawi kama majani;

mkono wa Bwana utajulikana kwa watumishi wake,

bali ghadhabu yake kali

itaonyeshwa kwa adui zake.

15Tazama, Bwana anakuja na moto,

magari yake ya vita ni kama upepo wa kisulisuli,

atateremsha hasira yake kwa ghadhabu kali,

na karipio lake pamoja na miali ya moto.

16Kwa maana kwa moto na kwa upanga wake

Bwana atekeleza hukumu juu ya watu wote,

nao wengi watakuwa ni wale

waliouawa na Bwana.

17 Watu wote wanaojiweka wakfu na kujitakasa wenyewe ili kwenda bustanini,

wakimfuata aliye katikati ya wale ambao hula nyama za nguruwe na panya pamoja

na vitu vingine vilivyo machukizo, watafikia mwisho wao pamoja, asema Bwana

  • Marejeo: Isaya 66:14-17
  • Imechapishwa: 18/01/202
Isaya 65
1 Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; naliliambia taifa lisiloitwa kwa jina langu,

2 Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;

3 watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;

4 waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;

5 watu wasemao, Simama peke yako, usinikaribie mimi, kwa maana mimi ni mtakatifu kuliko wewe; watu hao ni moshi puani mwangu, moto uwakao mchana kutwa.
 
Kilo inaanzia 11k-13k kulingana na eneo husika hasa maeneo yetu ya mtaani. Waweza pata ya kukaanga,roast,makange nk. Yaweza liwa pamoja na chochote ila yafaa zaidi kwa ugali ama ndizi choma.
Karibu sana
 
17 Watu wote wanaojiweka wakfu na kujitakasa wenyewe ili kwenda bustanini,

wakimfuata aliye katikati ya wale ambao hula nyama za nguruwe na panya pamoja

na vitu vingine vilivyo machukizo, watafikia mwisho wao pamoja, asema Bwana
  • Marejeo: Isaya 66:14-17
  • Imechapishwa: 18/01/202
Isaya 65
4 Aliingia Hekaluni, akachukua ile mikate ya madhabahuni -ambayo huliwa na makuhani peke yao -akala, kisha akawapa na wafuasi wake wakala!” 5 Akaongezea kusema, “Mimi Mwana wa Adamu ni Bwana wa sabato.”
 
Back
Top Bottom