Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,419
Kwa Zenji naipata wapi wazee...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa Zenji naipata wapi wazee...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unantamanisha sasaSawa Mkuu, ulete mrejesho, Ila hutakaa usahau mdudu WA pale na utashangaa jinsi utavyokuwa unafunga Safari kwenda huko kama we ni mdau kamili
Aaah kwahiyo pale oilcom nanyoosha sio? then naingia hicho kinjia kibovu bovu ?Hapo ndipo ulipokosea ulitakiwa kwenda straight nadhani ulikunja kama ya kuenda majumba sita...ukiuliza tu mkuu wa Majeshi hupotei
The only thing to fear is fear itself
Ha ha ha eti Excel sheet ya mdudu!You are Welcome.. kweli itabidi tufanye hvyo siku moja.
Rudys hutajuta..natumai ushafika pia Kwa Juliana Mbez ya chini hii.
Natengeneza excel sheet yangu ya vijiwe itatusaidia siku moja I can see leo upo na mood ya mdudu
The only thing to fear is fear itself
Yeah it just five meter ahead uki go straight bila kukunja kona...ili usipotee unauliza kwa Mabeyo mkuu wa majeshi ni Op na nyumba yakeAaah kwahiyo pale oilcom nanyoosha sio naingia hicho kinjia kibovu bovu sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah si ili tuvipate kwa urahisi tukisikia tu sehemu tunajaza taarifa zake!!siku tukitaka kutembelea tunateleza tu.Ha ha ha eti Excel ya mdudu!
Siku nyingi sijatoka nje na hii corona, leo ubongo umegoma kukaa ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisikia wamefunga nsio maana sikuwenda.. sikuhz huwa naenda kivulini pub kimangaUsithubutu kwenda now kipindi cha corona, ni wamejaza minguruwe mizee haina hata ladha!
Asee juzi yalinikuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa asante sana, Sasa sijui nianze kwa Mabeyo au RudisfarmYeah it just five meter ahead uki go straight bila kukunja kona...ili usipotee unauliza kwa Mabeyo mkuu wa majeshi ni Op na nyumba yake
The only thing to fear is fear itself
Ntaleta feedback leo leo jioni, ngoja nianze na hiyo rudisfarmHahah si ili tuvipate kwa urahisi tukisikia tu sehemu tunajaza taarifa zake!!siku tukitaka kutembelea tunateleza tu.
Duh bora uka refresh mind...nasubiria feedback baadae
Mana kule napo hawako nyuma!!
The only thing to fear is fear itself
Kitimoto hawajafunga,ila pembeni kwenye misosi ya kawaida ndo wamefunga!Nilisikia wamefunga nsio maana sikuwenda.. sikuhz huwa naenda kivulini pub kimanga
Ok poa tunasubiri..
Naona umesha amua Rudys ni bora mana kule ni mbali kwa Mabeyo huku uwanja wa nyumbani unaweza sogea siku nyingine...
Sabasaba (kwa minchi)kuna sehemu moja pale tanga wanatengeneza kitimoto tamu balaaa...............
nimepasahau jina ila ni jiran na round about ya kwanza ukitokea pongwe kabla hujaingia mjini
Unamaanisha pale MUMKwa hapa Morogoro. Kitimoto kizuri kipo ndani ya morogoro university.
Niko hapa Rudi's farm mkuuOk poa tunasubiri..
Have fun
The only thing to fear is fear itself
Naona umesha amua Rudys ni bora mana kule ni mbali kwa Mabeyo huku uwanja wa nyumbani unaweza sogea siku nyingine...
The only thing to fear is fear itself
Hahah I told u so...Niko hapa Rudi's farm mkuu
Asee tunakulaga matakataka huko kwingine
Kitimoto ya hapa ni nyoko
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah Unanitamanisha mno sasa!!