Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Mliokomenti wote kwenye huu uzi kama wala mdudu, acha niandike majina yenu halafu niwe nafuatilia koments zenu kwenye nyuzi nyingine ili nione kama wale wadudu washaanza haribu ubongo au bado bado 😂😁🤭
 
Sio mlaji sana ila nikitoka dsm, Dom na Iringa, Majumba ya Mawe pale Msamvu Morogoro ni next level hadi sausage za kitimoto motoo zipo kila la kheri kwa walaji, Kuku wa Chako ni Chako hakunaga Tz nzima. Mbukweni wagogo wote
 
Hv soweto kanga shngp mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…