Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Mliokomenti wote kwenye huu uzi kama wala mdudu, acha niandike majina yenu halafu niwe nafuatilia koments zenu kwenye nyuzi nyingine ili nione kama wale wadudu washaanza haribu ubongo au bado bado 😂😁🤭
 
Sio mlaji sana ila nikitoka dsm, Dom na Iringa, Majumba ya Mawe pale Msamvu Morogoro ni next level hadi sausage za kitimoto motoo zipo kila la kheri kwa walaji, Kuku wa Chako ni Chako hakunaga Tz nzima. Mbukweni wagogo wote
 
Sio mpiga debe wa yeyote ila kuhusu mbuzi, ukila mbuzi wa pale Corner Lounge pale Jeshini Tabata kuelekea Kisukuru/External, utakubali kuanzia Soweto mpaka unamaliza Tbt hakuna zaidi yao ingawa Soweto inaniita kwa nyama ya Kanga tu, juisi freshi inajazwa sukari kama ugomvi, vingine ni kawaida mno. The Great, Ale Bush, KB, Last Call, Baraccuda, pale kinyerezi kwa yule dada wa bandari, Kitambaa cheupe, Forty Forty n.k kwa tabata wajipange, Centre Point hotel pale Bima wanatengeneza mbuzi nzuri ila vipande vya mifupa vimezidi. Cluh Africa imekuwa ya kimazoea zaidi, hizo ndio kwa uchache kwa eneo hilo la tbt.
Hv soweto kanga shngp mkuu
 
50 Reactions
Reply
Back
Top Bottom