Walaaniwe wauza unga wote

Walaaniwe wauza unga wote

Hii kitu kumbe hari namna hii,
 
Mimi nasema wampokee Yesu waokoke.Yesu alikuja kwa wote waliopotea
 
Nyie mnapushi sie tuna pawa...

Tuangalie kwenye hili gemu nani ni mzawa...

La Familia CHIDI wa ILALA...


Maskini mwili nyumba wote umekwisha, NGADA haifai hata kidogo
 
Hapo mtu inategema nao kujiingiza ni kupara chati au walikuwa hawajui wanalolifanya.

Ila kwa yote wauza unga pesa yao haramu, nitafurahi nikisia hata mmoja anawindwa na wafu.
 
Back
Top Bottom