UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Mahakaman saa ngapi??
saa tatuMahakaman saa ngapi??
the good thing ni kwamba watu humu hawaangalii title ni tu basi huwa wanaangali content..., watu walishaanza kukutupia mapovu live.., ila dah hata mm ni mmoja wao.najua tofauti na mawazo ya wengi humu mimi ni mkristo mkatoliki tena wa itikadi kali.
baada ya kukaa na kutafakari kwa siku kadhaa juu ya kilichompata mpendwa wetu maxence nimeamua kubadili msimamo wa kumpa pole hadi kumpongeza maxence
nimeamua kumpongeza maxence kwakukubali kuteswa kunyanyaswa kupigwa nk kwaajili ya wale watanzania maskin,wajinga,wanyonge,yatima,malofa,wagonjwa,vilema,wenye njaa walioko chato, biharamulo, mpanda, bahi nk. kwakuwa jamiigorums imekuwa mstari wa mbele kufichua uovu dhuluma dhidi ya makundi haya .hivyo malipo ya kipekee atakayoyapata ni toka kwa roho mtakatifu. maxence usikate tamaa mungu hatokuacha kwenye makao yake ya milele yaliyopangwa na yeye mwenye nguvu.mimi leo navunja ratiba zote nitakuwa kisutu nimevaa shati la mikono mirefu na mistari mistari nitakunja mikono ya shati.hii ni hatua ya mwanzo ya kila mwenye kutaka kwenda mbinguni lazima lazima aipitie na leo tunashuhudia maxence akiipitia.
na kwakujiamini nasisitiza nitakuja na alteeza
Issenye, Iseresere, Nyankomogo, Majimoto, Ngoreme, Kitaramanka, Mugumu, Rwamkoma, Bumangi, Makutano, Buhemba, Ushashi, Tairo n.k.Chotera wa mkaya utawajuwa ukigusa wilaya zao [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mmesahau na kwetu Shirati, Tarime, Nyamongo, Sirari, Utegi, Bunda, Butiama, Musoma ,Kinesi etc tuko pamoja dhidi ya dhulma
Ndio madhara ya kusoma heading na kukurupukia ku commentUmeshamaliza? aya kojoa ukalale
list nzuri hiiWatanzania waliopo Ngara, Chato, Geita, , Kasulu, Kahama, uvinza, Kibondo, kakonko, bahi , kondoa , manyoni, itigi, Shelui, Igunga, Nzega, Didia lohumbo, ushetu, chambo, mlele, sikonge, Urambo, Tabora, nkwenda, mubira , kaisho, Benako, ushirombo, Bukombe, tukuyu, mwakareli, , Makongorosi, chunya, kyela, chimara, Mbeya, Iringa, Makete, Mafinga, ifunda, Tosa, makambako,
Teheee teheee unataka usipate shida kumtafuta,,,,umnase kirahisi umuunganishe na MaxWeka picha yako hapa mkuu.
the description of your shirt isn't enough for me. teh teh
rudisha upanga wako alani mwake!Weweeee! una bahati,nilikuja nimeshika panga...
Weka picha yako hapa mkuu.
the description of your shirt isn't enough for me. teh teh
Kipo kimkakati zaidi!!!Duuuu kichwa cha thread kinakinzana na content ......
kila mwenye pumzi na amsifu bwanaKazi ya Bwana Yesu hiyooo. Ilikuwa ni kutetea Wanyonge. Viongozi Wa Dini tunawategemea nyie.Wana CCM pia tunawategemea nyinyi kukana Ubeberu unaofanywa chini ya Chama cha Mapinduzi. . Tujitokezeni kwa Wingi kupinga Ukandamizaji wa aina yeyote katika Taifa letu tukufu. Turudisheni na kudumisha Ubinaadamu Tanzania.
Maombi Mengi yafanywe hata ukiwa hapo nyumbani.
Turudishe Ubinaadamu Katika Bara letu. Ubinaadamu Kwanza.
Mwenyezi Mungu Atuongoze na Atulinde. Ameen.
![]()
Hizi heading zenu zitawaponza kuna walinzi humu,Hatulali usiku kucha....rudisha upanga wako alani mwake!