Wala simpi pole Maxence, nampongeza sana

Wala simpi pole Maxence, nampongeza sana

Seke Bugoro, Seke Ididi, Igalilima, Uyogo, Nyamilangano, Songwa, Isaka, Kagongwa, Ntondo, Mhunze, Chela, Nundu, Namkuku, Nakapanya, Nanguruwe, Nivate, Nanyamba
 
Ugweno, Usangi, kikweni, vuchama, mruma, mpaka hedaru wanakupa pole maxeme.
 
Sengerema, misungwi, Maswa, Bariadi , tinde,

Tatizo ni hizo gongo ulokunywa asubuhi hii ndyo inakupa uchizi kutaja taja wilaya.
Chotera wa mkaya utawajuwa ukigusa wilaya zao [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Mmesahau na kwetu Shirati, Tarime, Nyamongo, Sirari, Utegi, Bunda, Butiama, Musoma ,Kinesi etc tuko pamoja dhidi ya dhulma
 
Temeke, kinondoni, ilala , Kibiti, Lindi na kadhalika huko kote watanzania wanauhitaji serikali lazima ipeleke Huduma za msingi huko

Rwamishenye, kiteyagwa, bugabo, kanyigo, katoma, ntoma, maruku, omukishenye, hamgugembe, kibeta, amujuju, ibwera, kafunjo, nyanshenye, kyakairabwa, gera, mafumbo, na kdahlika watanzania wa uko wanaomba misaada ya tetemeko vinginevyo tukutane 2020
 
Dr.. Profesa.. Alhaj.. Sheikh... Expert... Mh.. Balozi..Jf exp Akui
 
Ubaruku, mbarali , Mbozi, chamwino, ukerewe, , Buhongwa, Arusha, Babati, simanjiro, Mang'ola barzani na gorofani, same, kibosho, mwanga,
Watanzania walioko,Kyansenene,kabare,kyarugabo,katikabutale,kyamalebe,kabutaigi,biirabo,bugarama,kihumulo,Ngenge na lwigembe,kamishango,Buhata,bushekya,Itongo,bunyagongo,Mubunda,kyamyorwa nk.
 
Samahani mkuu, nilishaporomosha mats kimoyomoyo kabla sijasoma content. Asante tupo pamoja mkuu shukrani kwa upendo kwa Max.
 
Umetuvuta tusome sipo intersted na content yako lakini jinsi ulivyonishawishi tu
Hiyo ndo sifa ya uandishi Mimi niliwahi kununua gazeti LA ccm jina nimelisahau title tu iliniponza lakini nilichokikuta ndani nilitamani kulirudisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom