Sawasawa
Mnaalikana wenyewe tuNije kula bata wap boss![]()
Duh Zambezi karibu na micasa?Zambezi bar hapa ubungo, anyone around?
Let's meet at the top, cheers![]()
Naijua ile nishawahi kukaa pale kula ugimbiBar kongwe pale riverside
Hahahaha, ewaa, nilipata kitoto kimoja pale kizuri balaa ,ile mbuga iko vzr SanaPana mbuga ya burigi pale![]()
Kuna kipindi kishetani changu kikisimamia ukucha pale...nilikuwa sibanduki sikauki siambiwi siambiliki....Hahahaha, ewaa, nilipata kitoto kimoja pale kizuri balaa ,ile mbuga iko vzr Sana
Sent using Jamii Forums mobile app




