Hii kitu inapigwa promo hapa 5N kwa wale wanaopenda vitu vikali vol 8.5 alcView attachment 1394221
Sent using Jamii Forums mobile app

Nipo Vila Catering karibu na chuo cha MUHAS. Nimeagiza wali nyama na maziwa mtindi zenye bajeti ya buku 2. Je, mimi ni miongoni mwa wanaokula bata?













Niombeeni nataka kutest hii leo naskia inaanzia 60%alc.
Ushauri nichakachue na nini ili iwe nyepesi?View attachment 1395410
Sent using Jamii Forums mobile app
