Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,102
- 828,984
- Thread starter
- #581


ila huyu jamaa ni fundi sana. atakuwa na viungo mnyumbuliko kama amoeba, na hapo ni style gani wanatumia maana mlango kaufunga?
ngoja nimshawishi ndito kwenye ist au passo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jr







Kweli sio poa yaan mambo ya siku hizi bhana
zamani chupi ilikuwa inaficha tako lakini siku hizi chupi ndio inafichwa na tako.
hili balaa ni zito uliopo chini ni ugali au ni wali?