Kwanza nakusifu kitu kimoja Mshana Jr, kuna action ulichukua ya akili sana dhidi ya jamaa mmoja aliyekuja kukupinga kuhusu suala la Ushirikina. Jamaa alitoa povu sana siku hiyo na matusi kibao ila wewe ulichofanya ni kukaa kimya na kumpuuza. Kwanza hongera kwa hilo...
Pili tangu siku hiyo sioni hizo mada zinazohusu hayo mambo, na umekuwa mtoa mada mzuri katika majukwaa mengine bila kujihusisha na mada za kishirikina japo tumezimiss [emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana kunanuka udi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo brother, Mambo vipi?
Hahahaaaa kitambo sana[emoji1][emoji1][emoji1]tangu lini?
Jr[emoji769]
NyagiiYokozuna au veve?
Jr[emoji769]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Wala bata njooni mtoe hangover[emoji28]View attachment 1343091