kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,011
- 11,942
Sheraton, royal palm, movenpick hotel

Mkubwa Jipange Hiyo serial Uliyotaja ifute kaka,wata-trace serial hiyo imetumika na namba gani then watakuja kuangalia Namba imesajiliwa Kwa jina gani then it is easy kukujua na kudeal na wewe kwa kuwachafulia!!!! Jipange

Jamani watanzania katika topic hii tuanze kuweka taharifa za ukwepaji kodi kwenye thread hii ili wananchi watambue tunaibiwa kiasi gani na TRA ni wazembe kiasi gani, kwa kuanza tu

1.kuna duka moja ukonga la abdalah hussein halitoi risiti kwa wateje

2.kampuni ya airtel wanakwepa kulipa kodi kwa kuendelea kutumia vocha za zain ambazo muda wake umeisha(expiry) kwa mfano mimi nimetumia vocha serial no 3101115057667 ambayo inaonyesha expiry muda wa kuisha matumizi ni 31-o1-2011 hii inamaana vocha hii haiko kwenye control yeyote ya TRA

Mkubwa Jipange Hiyo serial Uliyotaja ifute kaka,wata-trace serial hiyo imetumika na namba gani then watakuja kuangalia Namba imesajiliwa Kwa jina gani then it is easy kukujua na kudeal na wewe kwa kuwachafulia!!!! Jipange
kaka hapa sio kuwa tuna taharifa zote bali yeyote mwenye taharifa anaziweka ubaoni hapa kama una taharifa yeyote karibu iweke ubaoni
Hivi hapo kwenye red hicho ni kiswahili au ni kilugha?
Yaani mkuu unaishia kutaja kiduka tu na hiyo kampuni moja uliyokuwa umeilenga? Umetuambia kuwa wakwepaji kodi wakubwa hawa hapa tukafikri labda na wewe umekuja na list of shame, kumbe uchuro mtupu! Kama hamna taarifa ni bora ukajinyamazia mkuu siyo kukaa unaongeza post hata zile zisizokuwa na kichwa wala miguu!!
tatizo liko wapi?hapa lengo lilikuwa kumtaja airtel! Hilo duka ni kuongeza list.

hapo Samora kuna duka la mhindi limepakana na duka la Magereza hufunguliwa kimachale machale

mchana kuanzia saa 7 ndio linakua wazi

na anafungua baada ya muda kidogo afunga, then ikipita muda kidogo afungua tena

madalali wote nchini hawalipi kodi