Wakwe wamekataa kuzika binti yao

Wakwe wamekataa kuzika binti yao

Wakae na hio maiti yeye aendelee na zake. Mshaurini akae kimya wala asiongee nao hao.
Kabisa!!! Awaambie wampe mda atafute pesa kwanza! Aone kama watautelekeza mwili wa mtoto wao!
 
Amani iwe nanyi!


Kuna rafiki yangu likuwa ameoa, toka June 2016.( mwaka mmoja) na mke wake amefariki leo. Wakati anaoa hakuweza kutoa mahali hata senti.


Tatizo1. Wazazi wa marehemu wamekataa kuzika hadi mahali itolewe. Na mwili upo hospitali, mortuary.



Tatizo2: jamaa hana chochote, ndugu zake hawana uwezo na hajui cha kufanya ili apate ng'ombe 20 wanazotaka wakwe zake.


Jamaa: msukuma
Mke & wakwe: ni wasukuma.


Je, nini kifanyike ili kumzika huyo marehemu pasipo kutoa mahali?



NB: kutaja kabila la kisukuma isiwe maada, lengo la kuandika ili kuwapa watu mwanga wa kujadili kwa kutumia utamaduni wao na katiba ya Tanzania, hasa sheria ya ndoa.
Hakuoa huyo ila alikuwa anaishi kinyumba na mtoto wa watu bila ridhaa ya wazaz wake alipe tu hiyo mahar, kufuata taratibu ni kuzuri sana kuliko kujichukulia maamuzi mkononi
 
Manispaa si wanazika aachane na hao wakwe...
Imeandikwa mwanamke atamwacha baba na mama yake na kumfuata mumewe.
Sasa hao wasukuma wanataka wamgeuze marehemu binti Yao kitega uchumi.
Hili kabila ovyo sana!
Manispaa inazika wasiokuwa na ndugu na huyo mwanaume akikubali mke wake azikwe kiholela kama mzoga atakuwa hafai kuwa mwanaume akubali changamoto si alibeba kama binti hana kwao
 
Naamini hata humu jf wapo wanaume wengi waliooa bila kutoa mahari, nadhani litakuwa ni fundisho kwa wengine wenye tabia kama jamaa huyo. Mzoea vya kunyonga....
 
Amani iwe nanyi!


Kuna rafiki yangu likuwa ameoa, toka June 2016.( mwaka mmoja) na mke wake amefariki leo. Wakati anaoa hakuweza kutoa mahali hata senti.


Tatizo1. Wazazi wa marehemu wamekataa kuzika hadi mahali itolewe. Na mwili upo hospitali, mortuary.



Tatizo2: jamaa hana chochote, ndugu zake hawana uwezo na hajui cha kufanya ili apate ng'ombe 20 wanazotaka wakwe zake.


Jamaa: msukuma
Mke & wakwe: ni wasukuma.


Je, nini kifanyike ili kumzika huyo marehemu pasipo kutoa mahali?



NB: kutaja kabila la kisukuma isiwe maada, lengo la kuandika ili kuwapa watu mwanga wa kujadili kwa kutumia utamaduni wao na katiba ya Tanzania, hasa sheria ya ndoa.
Jamaa hana kitu ndo maana akapewa mke katika mfumo wa "halichachi". Kama ilijulikana right from the very humble beginning, hayo madai yatawezekanaje?
 
Wasukuma!? Hawa ni janga la taifa. Ushamba mwingi na roho mbaya ndo wanaloliweza.
 
Back
Top Bottom