umerogwa wewe
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 417
- 566
JF hahahahahaSasa mahari ya nini wakat bint yao kashafariki?
JF hahahahahaSasa mahari ya nini wakat bint yao kashafariki?
Hii ni jadi huko usukumani,kutolea mahari maiti.
Hao wazazi ni mashetani pure!
Hawana huruma hao majitu, maana kama kuna wazazi ambao wanakaa na binti yao na mumewe na watoto wao kwa kuwa mume hana uwezo au alikuwa nao lakini akafilisika sembuse kufa! Hiyo mijitu sio watu walahi!Ushetani wao uko wapi?
Ni halali kudai haki yao!
Kabisa ila ni fundisho zuri sana yupo pagum sana kafiwa na bado tena changmoto za kumzika mke wke dah pole yake mungu amtie nguvuHili ni tatizo pia ni fundisho kwa vijana wanaopenda shoti kati, ni vyema ukatambua kuwa binti ana wazazi waliomlea, kitendo cha kuoana kiholeala sio vema kwani huyo ni binadamu lolote linaweza kutokea.
Hapo wazee wa pande zote lazima wakae chini waridhiane, vinginevyo ni pagumu
Kabisa mkuu umeongea point.Kama yeye ndio alimpeleka mochwari basi naamini kibali cha kutolea maiti anacho yeye!
Japo alikosea basi aite Wazee wakazungumze na Wakwe zake, Mwili uzikwe kisha hizo taratibu za mahali zifuatwe.(na hapa kama alizaa naye basi ni lazima atoe)
Na hii inatokea sana hasa mwenza wako alivyokuwa hai, Wazazi wakidai mahari ulikuwa jeuri hutaki kutoa.
Kesi za kuoa maiti zipo nyingi tu, na hili liwe funzo kwa vijana sio unachukua bint wa watu hata posa tu hujawahi toa.
kwani binti ndo alilelewa tu vijana wa kiume huwa hatulelewi na wazazi wetuHili ni tatizo pia ni fundisho kwa vijana wanaopenda shoti kati, ni vyema ukatambua kuwa binti ana wazazi waliomlea, kitendo cha kuoana kiholeala sio vema kwani huyo ni binadamu lolote linaweza kutokea.
Hapo wazee wa pande zote lazima wakae chini waridhiane, vinginevyo ni pagumu