Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 255
Hii sio stori ya kutunga kweli?
Tuseme sio kweli ilo tukio limetokea??
Hii mwana NUKTA.Na kwa kufanya hivyo kutapunguza wizi wa simu mtu akiiba hataweza kutumia handset.Kwa kweli bongo bado tupo nyuma sanaa kwenye uthibiti wa mawasiliano ya simu na internet ( i mean ICT -information Communication Technology)..ila naamini taratibu tutafika walipo wenzetu mana safari ni hatuaTRCA ilazimishe kampuni kuwa na rejister ya Black list Phone IMEI No. Na pia TRCA iifanye au ipewe nguvu ya kufanya Information system/Technical Auditing kwenye haya makampuni.