hahaha yani wachezaa kata wa kitambo sana hawa...wanapiga mawashigelii,kibadanchi,kuzidachi,takdachi,yokodach,Arushaone wa kulia kabisa na Erickb52 mwenye shati jeupe Baba V kiboko huo msamba Vin Diesel mwenye nyekundu aliyepiga msamba
Arushaone wa kulia kabisa na Erickb52 mwenye shati jeupe Baba V kiboko huo msamba Vin Diesel mwenye nyekundu aliyepiga msamba
Hahaha...mkuu tangu lini mie nikawa wewe aiseeeee....
Wewe si uliniambia mwenyewe ni mzuri sana kwenye hu ha hu takachid
Mbona mie sijasema hapa kuhusu ule mkanda wako mweusi....
Ule mkanda mweusi ulipatikana kwenye mambo mengine mbona na wewe unakuwa huelewi aise
Ule nilipewa kwa ajili ya kazi ya hapa mitaa ya kati Vin Diesel
Kumbe kazi za nyumbani nazo zaweza kukupa mkanda mweusi.....hahaha
Katavi mwalalauli taitu kalesaDuh....ni balaa.
Ndo manake
kama wewe unacheza mechi kama jogoo na kuhema kama kuku wa mdondoo kazi kwako
Unatakiwa ukliingia kwenye mechi utoke ukiwa umeenda kilometa 1000 sasa kama wewe unaenda kilometa 10 dah majanga ni shidaaa Vin Diesel