Wakuu Wenzangu nawaombeni msaada huu munisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu Wenzangu nawaombeni msaada huu munisaidieni

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MziziMkavu, Aug 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wakuu wenzangu? Kuna Rafiki yangu anatumia Facebook kwa mambo ya chat na kukutana na marafiki wa kila aina, sasa ameniomba nimsaidie kuficha marafiki zake ili watu wengine wasiweze kuwaona. Je kuna mtu yoyote yule anaweza kunisaidia ili niweze kumsaidia Rafiki yangu anayetumia hiyo Facebook kuficha hao marafiki zake?mimi sijuwi kitu kuhusu hiyo Facebook Chat na wal sio mimi jamani msinifikirie ndio mimi hapana mimi mambo ya chat sinayo kabisa asanteni.
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Unamaanisha kua friend list yake waone friends wake tu? kama hata baadhi ya friends wake wasione hiyo ni IMPOSSIBLE but inawezekana friends wake tu waone friend list.
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Huwa possible kwa kumblock mtu husika ambaye unafikiri hastahili kuona page yako lakini na wewe hutaweza ku access page yake. Lakini pia si kila rafiki anayekuomba urafiki uccept request yake.
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu kwa jinsi ninavyokujua kupitia mabandiko yako hapa jukwaani napata mashaka na mambo mawili
  Mosi; huyo mtu atakuwa ni wewe mwenyewe
  Pili; nahisi kama utanajua ila unazuga kulingana na utaalamu wako through mabandiko yako hapa jukwaani

  BTW sijaelewa jambo moja hapa
  Unataka rafiki yako(wewe)asionekane kwenye CHAT na wengine kama yupo online?
  Au unataka mtu asiye mjua asiweze kuona chochote kwenye profile yake?

  Yote yanawezekana
  Kama ni kutaka kuonekana haupo online ili watu wasikusumbue na chat basi hapo chini kulia kwenye page yako ya facebook kunakaalama kama mduara, click na chagua go offline. Hapo hakuna anayeweza kuchat na wewe wala kujua kama upo online

  Kama ni kudisable profile yako waone rafiki zako tu pia ina wezekana na ikabaki option ya kukuomba urafiki tu
  Pia lazima ahamie timeline hapo sasa anaweza kuamua nini na nani waone nini na wasione nini
  Nimesahahu kidogo lakini ukigoogle utapata matokeo yote ya namna ya kufanya
  Nikiwa kwa pc ntakujulisha
  Sijui kama nimejibu ulicho uliza
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,803
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  easy my friend nenda

  Facebook.com/privacy

  Utapata kila kitu unachotaka kublock watu profile details waone wote au marafiki tu au custom flan aone flan asione.
   
 6. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red chief hiyo option sijawahi ona labda iwe mpya.
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu mimi Tangu nijiunge na na Jamii Forums sikumbuki lini mimi nimesema Uongo niamini na muamini pia Mungu. mimi mambo ya Facebook wapi na wapi? Umri wangu ni miaka 49 na nina mtoto yupo kwenye Facebook ana umri wa miaka 25 sasa Mwanangu yupo Facebook na mimi pia niwepo kwenye Facebook? Ninajiheshimu Mkuu paulss Mimi nikiwa na tatizo Eti nitumie jina la mtu mwengine kwanini? ninamuogopa nani hapa Jamiiforums? Nikiwa na tatizo nitaeleza ni mimi la kama sio mimi nitaeleza kivingine huyo ni rafiki yangu mwenye hayo matatizo sio mimi mkuu niamini au usiniamini kivyako mkuu.
   
 8. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  its possible, aende upande kulia juu kisha kwenye sttings achague privacy settings, kuna option nyingi
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  sasa aweke hiyo (Custom) kisha nifanyeje?

  Privacy Settings
  • Control Privacy When You Post   You can manage the privacy of your status updates, photos and information using the inline audience selector — when you share or afterwards. Remember: the people you share with can always share your information with others, including apps. Try editing your basic info to see how it works or learn more.
   What's on your mind?
   • Friends
    PublicFriendsFriends except AcquaintancesOnly MeCustomClose FriendsLimited ProfileSee all lists...FamilyIstanbul AreanoAcquaintancesGo Back  • Control Your Default Privacy   This setting will apply to status updates and photos you post to your timeline from a Facebook app that doesn't have the inline audience selector, like Facebook for Blackberry.[TABLE="class: uiGrid audienceGrid"]
   [TR]
   [TD="class: prl"]
   Public

   [/TD]
   [TD="class: phl"]
   Friends

   [/TD]
   [TD="class: pll"]
   Custom
   [/TD]
   [/TR]
   [/TABLE]
  • Mkuu.@chief-mkwawa


   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,803
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye control your default privacy click custom then nenda kaclick only me.
   
 11. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,803
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  Sjamaanisha actual mtu mfano kutumia custom unaweza set friends of friends ndo waone profile tayari hapo umebagua nani aone na nan asione
   
 12. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  That's possible, I thought kauliza like Juma aone na asha asione
   
 13. P

  Paul S.S Verified User

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu hata hiyo option ipo pia
   
 14. P

  Paul S.S Verified User

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Pole mkuu MziziMkavu kama nimekukwaza
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Nina maanisha hata marafiki zake wasizione hiyo Friends list inawezekana mkuu NingaR
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu.@chief-mkwawa Nimefuata maagizo yako lakini bado rafiki yangu anasema Rafiki yake bado anawaona Picha za marafiki wake nikamwambia nitajaribu kuulizia tena ndio hivyo. Ninakupa Feedback.
   
 17. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kama ni kuzuia wote wasione friend list hiyo ni possible kabisaa just acheze na privacy settings
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Asante Mkuu NingaR
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
 20. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #20
  Aug 31, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,803
  Likes Received: 7,126
  Trophy Points: 280
  ok nimelog kwa pc i got a solution.

  rudi facebook fata mlolongo huu
  1. nenda kwenye profile yako
  2. click friend
  3. juu kulia utaona button mbili find friend na edit we click edit
  4.kitatokea kidunia kidogo na kimshale kimeelekea chini kiclick nacho
  5. utaona setting za kuchagua

  ikikataa na hapo itakua acount yake ime expire
   
Loading...