WAKUU WAPI NITAPATA SATELLITE FINDER DAR ES SALAAM

Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
2,793
3,955
wakuu,

nahitaji simple satellite finder nimeona hawa mafundi wa madishi tunazinguana tu..nahitaji satellite finder nipo mkoani ila natarajia kwenda dar hivi karibun..wapi nitapata hiyo kitu na bei yake kama itawezekana.
 
Sat finder mbona unayo kwenye smartphone yako mkuu zipo app nyingi tu zinazo kupa uelekeo wa dish huko playstore tena za kila aina .au unataka device kabisa ya kufunga pale kwenye BUC, LNB , NA KU?kama hizo zipo kwenye maduka ya computer accessories posta .
 
Kariakoo
 
thanks mkuu nahitaji ile ya kufunga pale kwenye lnb
 
Zinauzwaje mkuu.
250,000 enzi hizo naenda. kuna mdau alienda akaleta feedback kwamba amepata chini ya hapo pale pale sema hakusema ni kiasi gani.

hizo ni finder zenye built in tv na receiver.

zile zenye kioo kama saa sifahamu bei zake, ila pengine hazifiki hata elfu 50
 
Thanks very much.
 
Mi mwenyewe nataka nikacheck kesho hapo
 
Back
Top Bottom