mdeki
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 3,300
- 466
wadau naombeni mnisaidie kujua kama ile tabia ya wakuu wa wilwya ya kuchapa walimu viboko itaendelea ili nijiandae kwa kuvaa nguo ngumu ikiwezekana ngozi kabisa. lakini pia je kitendo cha kuchapa walimu viboko kimesaidia au ndiyo kimedumaza zaidi elimu na morali ya walimu?