Wakuu wa wilaya kuendelea kuchapa walimu viboko?

mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,300
466
wadau naombeni mnisaidie kujua kama ile tabia ya wakuu wa wilwya ya kuchapa walimu viboko itaendelea ili nijiandae kwa kuvaa nguo ngumu ikiwezekana ngozi kabisa. lakini pia je kitendo cha kuchapa walimu viboko kimesaidia au ndiyo kimedumaza zaidi elimu na morali ya walimu?

kwahiyo una mpango wa kuzembea ktk majukumu yako? Walichapwa walimu wazembe, je nawe unataka kuwa mzembe?

kwa hiyo we unaona kuchapana viboko ndiyo njia sahihi ya kuwajibishana?

mm ni mwalimu sasa we subir mkuu wa wilaya ajipendekeze kwenye kasekondar ketu halafu alete zake aone kama hatarudi kwake bila meno!
Hao walim waliochapwa hawajui haki zao ndo maana.

hata wenzako walisema hivyo.

kuchapana kusiishie kwa walimu tu bali cadre zote,mbunge akisinzia na sisi wenyenchi tupate fursa ya kumuwajibisha vivyo hiyvo mkurugenzi wa tanesko au ewura!

mm ni mwalimu sasa we subir mkuu wa wilaya ajipendekeze kwenye kasekondar ketu halafu alete zake aone kama hatarudi kwake bila meno!
Hao walim waliochapwa hawajui haki zao ndo maana.
huo ni askari mdomo tu................huh

Back
Top Bottom